Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #261
🤣🤣🤣Hapo kwanza ncheke
Msalimie shemeji.
Mwaka huu nimeanza na kibulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hapo kwanza ncheke
Magadi yanakuaharibu wewe! Happy New year kwako na Kwa familia yako🥂Msalimie shemeji.
Mwaka huu nimeanza na kibulu.
😂😂😂😂Hahahahah wengi mpo kihisia na hilo liko wazi 😂 ila inapokuja swala la ndoa wote mnatakaga kuwa on your best manners. Huwa mnaachaga magumashi yote kwa muda maalum.
Madeem bana, Kila siku nawaambia.
Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.
NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .
Mwanaume yupo Radhi akaoe Malaya asojua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.
Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.
Najua hamtanielewa.
Piga spana humu Kuna id hatuna majina, lakini tunadharauriwa kumbe tuna vyeo uku njeNani anaanza na shetani funguka nani anaogopa humu kunanini basi hadi utishie watu . Eti ushuzi unauona leo hujaona walivyokuwaga wananisakama wakati napitia yangu . Lazima watu wasemwe . Penda msipende halafu ushuzi labda wako sio wangu . Mnaonaga watu wengine na maumivu yao kama utani wengine ndio wanaumiaga acha kubagua watu na kutishia watu pokea mwaka uje ushushe huo ushuzi wako halafu unitag hamna jipya kazi kuja kila mwaka na ID mpya . Halafu mkiibiana mabwana mnaanza kutishia wenzenu kisa mlitumwa kumwaga kwa kunguruwe lulu zenu .
Nifah katuaribia vijana wetu 😂Wana msemo wao "Ubuyu hauna Chama"
Ana wajua watalaka😀😂😂, kayumba kweli😀This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
Aisee😂😀Wana msemo wao "Ubuyu hauna Chama"
Wewe sio wote, sisi wengine ni Mr deli😀🤒Wanaume wamekuwa tatizo mtumishi,inabidi tuliweke kwenye maombi....ngoja nifungue
Una wasuta, Kisha una muita mla ubuyu mwenzio😀😂
Labda ali kuwa ana taka achukue nafasi yey😀😂🤣Najua una nature ya ubishi Huwa hukubalo kushindwa Wala kuambiwa ukweli ila Kwa hili chukua au acha umechemsha...
1.mwanaume unatakiwa kuwa na kaba,haiwezekani umesikia jambo ukanunua vocha ukaanza kumuuliza the bold personal life yake,sawa maybe ni mshkaji wako kama unavyojinasibu,mwenzio akakusimulia kilichotokea baina yao,wewe badala uyatunze unakuja kuyamwaga kwenye public "eti nimeongea na muhusika"
2.Unamkandamiza dada wa watu anaforce ndoa,hata kama alikuwa anaforce ndoa ni hitaji la Kila mwanamke anapokuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu Sasa kosa lake lipi?
3.Huko Kwa Mwamposa umevuka na na Nini?maana akili yako ilikuwa juuu juuu kuwaza ubuyu.
Eti watibeli 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtibeli hapa umekosea. Hukupaswa kuzungumia mahusiano ya watu namna hii.Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako"
Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo.
Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia mahusiano hayo mara kwa mara humu JF. Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi. Ukiyaita mahusiano ya kijasusi hutokuwa unakosea.
Wale wenzangu na miye wazee wa kuchungulia pm za Wadada tulifunga breki kwenye Pm ya Nifa kwani kwa sisi wataalamu wa mapenzi tunajua kabisa mapenzi yakikolea kwa kiwango cha juu kabisa si ajabu wapenzi kubadilishana simu na password. Hiyo ikaturudisha nyuma kwa kuhofia jasusi ana-access na account ya Nifa.
Wapo waliofurahishwa na habari hizo. Wapo pia waliohuzunishwa.
Nimewasiliana na jasusi yeye kwa uchovu kabisa alinijibu kuwa imeisha! Imeisha Mtibeli.
Nikamwuliza shida nini, akaniambia kumbe walikubaliana mwaka huu warasimishe. Na kama hawatarasimisha basi binti atachukua uamuzi mgumu.
Kuna mdakaji, mdakuzi, na mdukuzi. Kwenye mambo ya ujasusi bhana.
Jasusi kazidiwa kete na mojawapo hapo.
Ilipohitimu mwezi wa nane mambo yakawa mambo. Mojawapo hapo juu akamzidi jasusi.
Hata hivyo Jasusi kwa nilivyomsikiliza, taarifa hizi hazimuumi sana. Kingine ni kuwa kama mjuavyo binti yetu ndio alipenda zaidi kuliko jasusi mbobevu.
Ngoja tuendelee na nyimbo hapa kwenyw mkesha
Pole sana mkuuMm binafsi nilishagundua sina kipaji cha mapenzi, toka hapo nimekaa pembeni nimebaki kuwa shabiki na mpenzi mtazamaji...
🤣🤣🤣usinichonganisheLabda ali kuwa ana taka achukue nafasi yey😀😂🤣
Tunaendelea kumung'unya😁😁😁Una wasuta, Kisha una muita mla ubuyu mwenzio😀😂
Yaani ninge kua naku koa kwenzi, maana umbea Ume kujaa😂🤣🤣🤣usinichonganishe
Mi napiga vita umbea,we Tena unaniambia umbea umenijaa jamani🤣Yaani ninge kua naku koa kwenzi, maana umbea Ume kujaa😂