Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #181
This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
Sijashadadia kuachana kwao.
Tunaoyajua mapenzi tunajua hata wapendanao huweza kuachana iwe kwa kifo au kwa namna zingine.
Love ni pamoja kuachana Mkuu. Relax!
Kuhusu mengi ya kuandika, ninaandika vile nitakavyo na sio vinginevyo. Ninyi wasomaji pia mtasoma kile ninachoandika kwa mapenzi yenu au mtaacha kwa uamuzi wenu. Hiyo sio juu yangu