Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .



Mwanaume yupo Radhi akaoe Malaya asojua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.



Najua hamtanielewa.
Bro,o level na advance ulisoma shule gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi zako nzuri,,,nitakutumia zingine jirani yangu analetaga kutoka Malawi😁
Safi za Malawi si mbaya pia. Nitumie nitashukuru. Muwe mnawasaidia hawa watu wanaanzisha nyuzi kama hizi muwashauri kuwa ni kupoteza uanaume. Yaani mwanaume kabisa unajisifu kuwa umeongea na mwanaume kuhusu mwanamke wake na unaanza tangaza mtaani? Nimeshtuka sana. Siku hizi hata wanawake wameacha umbea na uchawa wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom