Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mapenzi hayana mwenyewe! [mention]Nifah [/mention] mmbeya wa jiji alikamatika kwa jasusi wa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We fala 😂😀😀🤒Tulia wewe
When one door close another door open..Jasusi aliinjoi, that's the bottom line. Sisi wanaume tukila chakula kitam tunafurahi. Sasa kama mwamba alitafuna vitu vizuri, si ajipige kifuani na kujipa pongezi? Muhimu tu ni vitu vizuri, ndoa atafunga na mwingine...
Kwanini sasa chichat umetudhalilisha namna hii?. Why?Acheni kuzusha, niko hapa na nimesema sababu mwenyewe.
Hayo mengine ni uzushi tu, ila kama yanawafurahisha endeleeni kufurahi.
Haki sawa kwa wote 🤣✌🏽
Sio kwamba bidada aliona buku buku za telegram hawato fika
Kijamaa gani icho na mimi nikikasirikieThis is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
🤣🤣🤣🤣Wanazingua watoto wa kiumeKijamaa gani icho na mimi nikikasirikie
Daah! Aisee nimecheka Kwa sauti!Ahsante mkuu, hiyo ibada ni yakuchat ?
😂 vijana wa hovyo hao wanachat hadi ibadaniDaah! Aisee nimecheka Kwa sauti!
Huyo jamaa alimloga huyo bintiMdada ndo kapenda Kwa mara ya kwanza sema chaliii yy alikua mkongwe.......mdada alivomaliza six credit hazikukaa vzr dada zake kwenye kudodosa wakajua anadate na flan wakahis ndo sababu y binti kuzingua.......wakamdaka jamaa wakampa masharti wanayojua wao jamaa alimpiga chini demu, demu alisota kila akimuona jamaa cjui ndo mashetani gn yanampanda mpaka demu akahamishwa ndo ile hali ikaisha
Ila, kwenye mahusiano yenu ulikua ni wingu jeusi lililotanda kibabe katika njia na maisha ya Mwana.Acheni kuzusha, niko hapa na nimesema sababu mwenyewe.
Hayo mengine ni uzushi tu, ila kama yanawafurahisha endeleeni kufurahi.
Haki sawa kwa wote 🤣✌🏽
Unachofanya ni kituko, kitu cha ajabu. Yaani unaanzaje kuja zungumzia mahusiano ya mwanaume na mwanamke? Huu ni umbea, uzandiki, ukuda, ushaku naku na ukosefu wa maadili. Si jambo la kawaida. Wanaume hatufanyi hivi. Umejishusha sana na kuchukua role ya wanawake wa uswahili wasio na kazi. Unataka upate ujiko kupitia mahusiano ya watu? We ni chawa wa jamaa? Huyo dada si anaweza kukusuta?Zamani mlichukuliwa utumwani na kufanywa makoloni ndio mnajiona mlikuwa wanaume?
Embu to UCHIZI hapa