Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .



Mwanaume yupo Radhia akoe Malaya asokua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.



Najua hamtanielewa.
Wewe unaakili sana utafika mbali
 
Unachofanya ni kituko, kitu cha ajabu. Yaani unaanzaje kuja zungumzia mahusiano ya mwanaume na mwanamke? Huu ni umbea, uzandiki, ukuda, ushaku naku na ukosefu wa maadili. Si jambo la kawaida. Wanaume hatufanyi hivi. Umejishusha sana na kuchukua role ya wanawake wa uswahili wasio na kazi. Unataka upate ujiko kupitia mahusiano ya watu? We ni chawa wa jamaa? Huyo dada si anaweza kukusuta?

Pole sana Mkuu
 
Nani anaanza na shetani funguka nani anaogopa humu kunanini basi hadi utishie watu . Eti ushuzi unauona leo hujaona walivyokuwaga wananisakama wakati napitia yangu . Lazima watu wasemwe . Penda msipende halafu ushuzi labda wako sio wangu . Mnaonaga watu wengine na maumivu yao kama utani wengine ndio wanaumiaga acha kubagua watu na kutishia watu pokea mwaka uje ushushe huo ushuzi wako halafu unitag hamna jipya kazi kuja kila mwaka na ID mpya . Halafu mkiibiana mabwana mnaanza kutishia wenzenu kisa mlitumwa kumwaga kwa kunguruwe lulu zenu .
Duh[emoji2960]
 
Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .



Mwanaume yupo Radhi akaoe Malaya asojua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.



Najua hamtanielewa.
Na wewe ni Jasusi?. Taarifa personal kama hizi umezipataje?[emoji3]
 
Miaka HII WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA. YAANI MTU KABISA UNAKUJA ANZISHIA UZI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, ARE YOU NORMAL? NI AIBU HATA KUZUNGUNZIA. LENGO NINI? UONEKANE UPO KARIBU NA MTALAKA? THEN? WANAUME WAZAMANI ILIKUWA HUWEZI JADILI MAHUSIANO YA MTU MWINGINE. ULIKUWA MWIKO KABISA.
Ukikutwa adhabu yake ilikuwa nini?
 
This is too low Robert!unamengi yakuandika kuliko kushadadia Kuachana Kwa wapendanao,halafu unajifanya watibeli tunapreach love ndio love Gani hii?halafu kuna kijamaa kingine nacho nimeona kimefurahia sana hii habari acheni mambo yenu bhanaa
Yaani Hadi umeshindwa kukanyaga mafuta unaanza kuandika Uzi unaona kesho mbali 🤣🤣🤣🤣🤣Duuuh nyie wakaka wa siku hizi mmerogwa nyie eti?Sasa wakati unaongea na jasusi alikua anajua unakuja kuyaanika huku maongezi yenu?Grow up!
Mkuu naona umechafukwa, nikawaida watu wakiachana marafiki kutia maneno. Kitu ambacho nifah hajui, mwanaume halazimishwi Ndoa. Ukinilazimisha unanikimbiza, mwanaume akikupenda na akaona unafaa kuwa mke wake basi ndoa anaiomba mwenyewe.
 
Mkuu naona umechafukwa, nikawaida watu wakiachana marafiki kutia maneno. Kitu ambacho nifah hajui, mwanaume halazimishwi Ndoa. Ukinilazimisha unanikimbiza, mwanaume akikupenda na akaona unafaa kuwa mke wake basi ndoa anaiomba mwenyewe.
Achaneni na huu uzushi basi, sijawahi kulazimisha ndoa, katu!

Kwamba nilitaka ndoa ndipo tukaachana? Nonsense.
Sababu zilizotufanya tuachane ni nyingi na hii sio moja wapo.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom