Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Oya Unique Flower niaje mwanangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ€’
 
Ilikuwaje😒
Mdada ndo kapenda Kwa mara ya kwanza sema chaliii yy alikua mkongwe.......mdada alivomaliza six credit hazikukaa vzr dada zake kwenye kudodosa wakajua anadate na flan wakahis ndo sababu y binti kuzingua.......wakamdaka jamaa wakampa masharti wanayojua wao jamaa alimpiga chini demu, demu alisota kila akimuona jamaa cjui ndo mashetani gn yanampanda mpaka demu akahamishwa ndo ile hali ikaisha
 
Mimi bora mdada aniaxhe mwenyewe hasa anayenipenda. Siwezi kumuacha mtu anayenipenda. Nitajilaumu sana
Shida hawa dada zetu Kuna mda wakipenda wanakua wasumbufu sana! Kulikuwa na huyo aiseee acha tu alikua ananchatisha normal text, watsup, insta dm, telegram na kote mada tofauti Bado Kuna ratiba ya kuongea tena jioniπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Shida hawa dada zetu Kuna mda wakipenda wanakua wasumbufu sana! Kulikuwa na huyo aiseee acha tu alikua ananchatisha normal text, watsup, insta dm, telegram na kote mada tofauti Bado Kuna ratiba ya kuongea tena jioniπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama ulimuacha pole sana mkuu.
 
Udakuzi
 
Unaongea ushuzi bila kujali mwenzako atajisikiaje, au wewe ni mwanaume?

Ningekushushia essay sema leo Naanza mwaka na Bwana.
Nani anaanza na shetani funguka nani anaogopa humu kunanini basi hadi utishie watu . Eti ushuzi unauona leo hujaona walivyokuwaga wananisakama wakati napitia yangu . Lazima watu wasemwe . Penda msipende halafu ushuzi labda wako sio wangu . Mnaonaga watu wengine na maumivu yao kama utani wengine ndio wanaumiaga acha kubagua watu na kutishia watu pokea mwaka uje ushushe huo ushuzi wako halafu unitag hamna jipya kazi kuja kila mwaka na ID mpya . Halafu mkiibiana mabwana mnaanza kutishia wenzenu kisa mlitumwa kumwaga kwa kunguruwe lulu zenu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…