we nawe sa unafoka nini? Hebu peleka stress zako huko......mfyuuuu!!!!!
Anatafta Huruma ya wanajamii hana lolote.anajidai mbabe Mara anakonda cjui komandoo kipensi kumbwe hana kitu anadundwa!!
kama ni yeye sheeeeeee nishangae kimasai!!!!
yani mwanaume nimuoe afu anipe kipigo ntatupa zubeda yake nje nae afatie nyuma
Hahahahaha kama ulikuwepo vile, inashangaza ati komandoo kipensi aka anakonda kuchezea kipondo, wakati mwingine wawe waangalifu wanapojipa hizo aka zao
Ndio maana anajiita komando machozii,sio komando tu
Huyu dada anamdhalilisha hata Huyo nyoka anakonda .na.komando kipensi alikua mvumilivu anakul adi nyungunyunga na vipanya pori .ila huyu katiwa makofi tu kelele kibao.hako kakidole ndo kapigwa!!!dahhhh angeenda kwao Mara akaona wanaopigwa.watu adi papuchi inabanikwa kudadeki kwenye moto ila wanarudi tena nyumbani
Naeee angeakaa tu kimyaaa

ngoja nicheke nilikua sijacheka toka jioni iingie
Ndio maana anajiita komando machozii,sio komando tu
ndoa ya bomani hiyowakristo hakunaga talaka
miss neddy sa mbona tuliambiwa Gardner anadai talaka yake
kupigwa na mwenzio (kwa me au ke) sio mapungufu ya kukaa kimya... unaweza kuvunjwa mguu au kurestishwa in peaceNilimuona wa maana alipokuwa amekaa kimya, wanandoa wenye busara hata mkiachana hampaswi kutoa mapungufu yenu nje hasa kwenye mitandao , je na Gadner akianza kutoa mapungufu yake.Ngoja tusubiri mumewe aje aseme yeye hajui majambozi .
Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadnerkama ni yeye sheeeeeee nishangae kimasai!!!!
yani mwanaume nimuoe afu anipe kipigo ntatupa zubeda yake nje nae afatie nyuma
kupigwa na mwenzio (kwa me au ke) sio mapungufu ya kukaa kimya... unaweza kuvunjwa mguu au kurestishwa in peace
miss neddy sa mbona tuliambiwa Gardner anadai talaka yake