Jay Dee alipigwa na mume wake au?

Jay Dee alipigwa na mume wake au?

Hahahahaha kama ulikuwepo vile, inashangaza ati komandoo kipensi aka anakonda kuchezea kipondo, wakati mwingine wawe waangalifu wanapojipa hizo aka zao

Ndio maana anajiita komando machozii,sio komando tu
 
Ndio maana anajiita komando machozii,sio komando tu

Huyu dada anamdhalilisha hata Huyo nyoka anakonda .na.komando kipensi alikua mvumilivu anakul adi nyungunyunga na vipanya pori .ila huyu katiwa makofi tu kelele kibao.hako kakidole ndo kapigwa!!!dahhhh angeenda kwao Mara akaona wanaopigwa.watu adi papuchi inabanikwa kudadeki kwenye moto ila wanarudi tena nyumbani
 
Naeee angeakaa tu kimyaaa
 
mambo vp captaiiiin naona upo sambamba na comments
 
Nilimuona wa maana alipokuwa amekaa kimya, wanandoa wenye busara hata mkiachana hampaswi kutoa mapungufu yenu nje hasa kwenye mitandao , je na Gadner akianza kutoa mapungufu yake.Ngoja tusubiri mumewe aje aseme yeye hajui majambozi .
kupigwa na mwenzio (kwa me au ke) sio mapungufu ya kukaa kimya... unaweza kuvunjwa mguu au kurestishwa in peace
 
kama ni yeye sheeeeeee nishangae kimasai!!!!
yani mwanaume nimuoe afu anipe kipigo ntatupa zubeda yake nje nae afatie nyuma
Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadner
 
kupigwa na mwenzio (kwa me au ke) sio mapungufu ya kukaa kimya... unaweza kuvunjwa mguu au kurestishwa in peace

Mapungufu yanakuja kwanini aseme sasa!!! baada ya uhusiano kwisha(kama ni kweli umekwisha), angelisema akiwa ndani ya ndoa ningekubaliana naye haya anayoyasema anapaswa akayaseme kwenye vikao vyao vya usuruhishi au mahakamani na si kwenye media tena baada ya ndoa kwisha.
Ni ukosefu wa akili/na utoto watu mkiachana kila mtu aanze kutangaza mapungufu ya mwenzie.Ndoa nyingi hasa zetu za kiafrika ni ngumu , tunaishi kwa kuvumiliana lakini kama mmeshindwana ni heri kuachana kwa amani kuliko kuanza kutoleana siri za ndani.
Jide ni mwanamke ambaye amejijengea heshima kwa kiasi fulani ktk jamii kuanza kuropokaropoka kunaweza kushusha heshima hiyo.Naona wote wanaanza utoto Gardner anacheza huku single boy,yeye anaonyesha kidole.
 
Back
Top Bottom