Jay Dee alipigwa na mume wake au?

Sidhani kama Gadner anaweza rejea tena matapishi.

Usiseme hivo...Diamond na Wema mara ya kwanza walivyoachana mpaka wanarecodiana voice note hatukudhani kama watarudiana...ila mwisho wa siku wakawa pamoja
 
Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadner
Yan namtoa nduki namtupia hadi boxa atazikusanyia nje....
 
Nimekuvua ukomando, komando gan anatishiwa kufa na anatishika?
 
Mambo ya ndoa ni magumu kuelezea! sisi hatujui!!! inamaana alivyoumizwa akajipiga picha ili baadae aje aonyeshe penzi likivyunjika!!! mwanamke mwenye kinyongo hivyi ni shida sana kuishi naye. Gardner anahitaji nishani ya uvumilivu.


kinyongo ndio shida sana mpaka .... lakini anayemtoa mwenzie kucha ni rahisi tu kuishi naye. duuuuu
 
Bila picha huelewi?


Halafu Mimi niliuliza tu wala sijaconclude

Nifundishe kukopi picha huko kwenye instagramuni ,

Fanya ivi.ubonyeze kitufe cha kupunguzia sauti na cha kuzimia kwa pamoja unakua unafanya screen shoot.kama unavyoona wenzako wamebandika kurasa nzima za instagram.then unasave kwenye simu yako
 
Wakuu wanandoa hawa bado wanapenda atokee wenye ama mwenye huruma awaunganishe tena .mungu mkubwa wanaweza wakarudiana
We naeeeee! Hebu tupishe atokee nani awaunganishe! Kwani walipokua wanatongozana miaka 9 huko nyuma nani aliwatongozeshea?? Wayamalize wenyewe wasisumbue watu
 
Jide alikua komando bt kwa gadner alikufa akaoza no ukomando no nn..mapenzi yana nguvu sn..pole jide
 
Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana msiusemeee moto ni nani aliyeweza kuishi kwenye ndoa miaka Tisa kama jide asiye pitia maumivu makali ilibaki nusu tu aseme yatosha mwenyezi mungu kamnusuru ndoa ikaendelea awe Wa kwanza kumpiga mawe jide mkiona hivyo akaona hapa nimeshindwa na anamengi zaidi ya hayo ndoa so mchezo has a ifikapo mchana jua lake Kali kweli kweli MTU unaweza ukatamani Kila siku kuwe asubuhi kwenye ndoa ifikikapo join jus linaenda kuzama
 

Unavyoongea ni sawa na kusema huyu mtu alifanya kosa (mfano la kuiba/ kuua) zamani mno, kwa nini tumshitaki leo. tumuache tu maana yalishapita

Hii kitu ya kuwa abused kwenye ndoa na kukaa kimya ipo kwa wanandoa wengi sana, na wengi wanakaa kimya (wanawake kwa wanaume) wakiamini kwamba mambo yatakuwa poa lakini ukweli ni kwamba mambo huwa hayaji kuwa poa. Watu huwa wanaficha, ila inafikia kipindi inabidi wawe wawazi tu. Sidhani km kuna defined period ambayo mtu anatakiwa apaze sauti, kila mtu huwa ana-speak out pale anapoona ni wakati sahihi.

Mtu anapoongea kuhusu abuse, si kwa faida yake tu, bali pia kwa wengine wanaokuwa abused kwenye ndoa zao lakini wanakaa kimya, either kwa kutokujua haki zao au kwa kujua. Huyo Gadner kama ana tabia hiyo hataishia kwa jide, ataenda kukung'uta na wengine. wakati wowote ni right time kwa kupaza sauti. So now jide anaweza kuja kuwa balozi mzuri wa kupinga domestic violence maana ameweza kusema no to that
 
Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadner

Yaani nikisikia maneno kama haya naanza kumuangalia mke wangu kwa makini sana, na nibahati mimi ndio father house, yaani mwanamke akitoa pesa yake kumpa mme wake anaona anaonewa sio haki, yani mnawaza vya mwanaume nivyawote lakini vya mwanamke ni vyake, yani wewe ningekujua ningekumendea nikule tigo tu sipigi goli hata moja front ni tigo tu
 
kwani hiyo damu kwenye kidole alimtoa lini??? coz from what i know hawa watu wameshatengana, walikutana wapi tena mpaka akapigwa hivyo???
 
kwani hiyo damu kwenye kidole alimtoa lini??? coz from what i know hawa watu wameshatengana, walikutana wapi tena mpaka akapigwa hivyo???

Labda walienda kuombana msamaha iliposhindikana ndo kipigo kikatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…