Atakua alimbana na bisibisi LOL...
Wakati wako wote hakuona hizo violence aje azione sa hivi wameachana. Kwanza talaka tatu alishaiandika kwa huyo Gardner
Ukiona hivo jua karoho kanauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua alimbana na bisibisi LOL...
Wakati wako wote hakuona hizo violence aje azione sa hivi wameachana. Kwanza talaka tatu alishaiandika kwa huyo Gardner
Hapo na mie ndio niliposhangaa Jide kakaa miaka 9 kwenye ndoa hajapaza sauti leo baada ya mtafarukano wa ndoa ndio anapaza sauti...
Dah!!! Na wakirudiana tutasemaje
Sidhani kama Gadner anaweza rejea tena matapishi.
Yan namtoa nduki namtupia hadi boxa atazikusanyia nje....Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadner
Ukiona hivo jua karoho kanauma
Alimpendaga sana Gardner
Mambo ya ndoa ni magumu kuelezea! sisi hatujui!!! inamaana alivyoumizwa akajipiga picha ili baadae aje aonyeshe penzi likivyunjika!!! mwanamke mwenye kinyongo hivyi ni shida sana kuishi naye. Gardner anahitaji nishani ya uvumilivu.
Bila picha huelewi?
Halafu Mimi niliuliza tu wala sijaconclude
Nifundishe kukopi picha huko kwenye instagramuni ,
We naeeeee! Hebu tupishe atokee nani awaunganishe! Kwani walipokua wanatongozana miaka 9 huko nyuma nani aliwatongozeshea?? Wayamalize wenyewe wasisumbue watuWakuu wanandoa hawa bado wanapenda atokee wenye ama mwenye huruma awaunganishe tena .mungu mkubwa wanaweza wakarudiana
Lazy mate miss u badly
Ni nini unanifanyia sasa...
Mapungufu yanakuja kwanini aseme sasa!!! baada ya uhusiano kwisha(kama ni kweli umekwisha), angelisema akiwa ndani ya ndoa ningekubaliana naye haya anayoyasema anapaswa akayaseme kwenye vikao vyao vya usuruhishi au mahakamani na si kwenye media tena baada ya ndoa kwisha.
Ni ukosefu wa akili/na utoto watu mkiachana kila mtu aanze kutangaza mapungufu ya mwenzie.Ndoa nyingi hasa zetu za kiafrika ni ngumu , tunaishi kwa kuvumiliana lakini kama mmeshindwana ni heri kuachana kwa amani kuliko kuanza kutoleana siri za ndani.
Jide ni mwanamke ambaye amejijengea heshima kwa kiasi fulani ktk jamii kuanza kuropokaropoka kunaweza kushusha heshima hiyo.Naona wote wanaanza utoto Gardner anacheza huku single boy,yeye anaonyesha kidole.
Nilikuwa nawaza kama wewe... mwanaume nikuweke mjini, halafu ujifanye kidume wa kunitoa damu kidole changu. Asubuhi nikupe pesa ya mafuta ya gari na kuhonga. Kweli Jide alimpenda Gadner
kwani hiyo damu kwenye kidole alimtoa lini??? coz from what i know hawa watu wameshatengana, walikutana wapi tena mpaka akapigwa hivyo???