Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Huu ulikuwa wimbo wa Diddy sio wa Faith evans.
 
 
Hivi hapa bongo kama kuna wasanii au lebo zenye mikataba na mbwa hao wakikataa kufanya waliyokubaliana watafanywa nini, au nao watashitakiwa kwa kashafa za ngono huko nyuma walibaka na kunyandua mtu kwa lazima katika matamasha yao?
 
Juzi kati Kanye West naye kaponea chupuchupu sijui yale madai ya yule mwanamke yaliishia wapi

Twende mbele na turudi nyuma kwa jinsi Marekani inasifiwa kwa haki hawa jamaa wanaonewa au ni kweli?

Maana kama Diddy ana ushahidi wa video upo
Hata Jay Z, Jennifer Lopez na Beyonce ushahidi wao upo na wa Usher kumpeleka Justin Bieber kwa Diddy akiwa minor huku akijua fika yaliyomkuta yeye akiwa kinda.
Rihanna naye kaibuka na aliyofanyiwa na Jay Z ili asainiwe kwenye label.
It's just a crazy circus.
 
Km kuna stable couple Kwa wanamuziki US basi ni ya Jay Z kuna network flan ukiizingua US wanakuharibia kila kitu hata Kwa video zakutengenezwa mpk ukikaa sawa it will be too late,hasa wakiwa wanataka hela zako,hata Kobe Brian yule walimuondoa kwakua wanataka Mali zake na jamaa kuna kampuni zilimfuata awe ambassador ila aligoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…