Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Nilisema... Mkakati maalumu wa kuipoteza black superiority
Huu utakuwa ukweli we tazama black community mambo wanayofanya ya kibwa. Kuana, kuuza unga, silaha ngono.
Shida ni kwamba mambo waliyofanya nyuma yamerudi kuwa hunt.
Kuna black fulani ana podcast anasema, americans will forget about your crimes if you keep making good music but when you stop...
Hawa watu hawasingiziwi blacks wenyewe baada ya didy walianza kusema jay z na beyonce pia wanajua mengi.
 
Ila washikaji ni wanetu lakini nikiangalia kwa jicho la pili huwa hawasingiziwi. Kuna mambo ya hovyo sana kwnye music industry ya Marekani na Hollywood kwa ujumla
Hapana sio huko tu marekani. Huku kwetu ndio sana. Kungekuwa na democracy ya kweli wengi sana hata wakubwa wangeishia ngome. Kuna uwezekano mkubwa hata wewe umewahi kupita na ka-under17. Lakini ksbb kinaonekana kitu cha kawaida kwa huku.

Jambo la pili kuna kitu kinakuwa nyuma ya hawa masuperstar marekani ili kuwatawanya waje wapya. Pia kuna swala la hao wanaotengeneza kesi kutaka kujipatia utajiri kupitia hawa. Mambo ni mengi.
 

Marekani bana, mtu kafanya kosa mwaka 2000, wanakuja kufanya kesi 2024. Hawajui ya kuwa hao kwa sasa ni watu wawili tofauti. Yule wa 2000 anatofautiana sana na wa sasa kiakili, kihisia, kimtazamo, kimuonekani, nguvu, uthubutu nk. Binafsi wangenishtaki kwa makosa ya miaka 20+ iliyopita, naweza kusema sikumbuki kitu. Hata wakitoa ushahidi vipi, nasema I don't have any idea. Nadhani kesi itaishia hapo.
 
Katika interview moja Jay Z alihojiwa na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu yeye huwa anajisikiaje hasa pale anapokumbuka au kuona jinsi alivyoharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia Madawa ya kulevya (Drugs)

Na akaulizwa je amewahi kuwatafuta waathirika wa madawa au kuwaomba msamaha Kwa kile alichowafanyia .

Alijibu hivi

Jay -Z sijamtafuta MTU yeyote kumuomba msamaha na ni kweli nakubali niliharibu maisha ya vijana Kwa kuwauzia madawa ya kulevya Ila wakati nafanya yote hayo nilikuwa na ufahamu tofauti na ambao ninao sasa hivi. ( I had different level of consciousness than I have today ).

Na mwisho akasema yeye haitaji kumuomba msamaha MTU yeyote ikiwa hilo deni la kuharibu vijana hajalilipa basi IPO siku atalilipia.

Akamaliza Kwa kutilia mkazo Kwa hii sentence.

"You can't sacrifice someone's life for your life because there's is karmax debt has to be paid"


Hivyo Jigga au Jay z anaelewa mambo mengi kuhusu universe , kwamba ikiwa utafanya ubaya lazima utaulipia haitajiki hata kutafuta public sympathy au kuomba msamaha mbele za watu.

Interview hii aliifanya na "the new York times" unaweza kuitazama YouTube
 
Kesi haiishi kirahisi hivyo nadhani hata Tanzania kuna sehemu kwenye sheria wanasema 'jinai haifi'.
Ignorance or not remembering anything will never be the excuse at the court of law.
 
Ngoja tuone, Japo hawa wana namna ya kushangaza, Hata Diddy is powerfully figure, tatizo naye ana maadui wengi mno ambao walipaswa kuwa “wana”
Nadhani ndo hapo alipokua kaanguka bwana puff dad maadui wengi walikia wanamlia mingo, lakni kwa jay z ata kama ana maadui basi ana njia nzuri ya kuishi nao, kweli anaweza kuanguka mana wanaotaka kumuangusha kama ni wazungu tena wawe masonic basi anaanguka vizur tu nae anaenda kuungana na jamaa yake huko jela.
 
Wapi duniani kuna mwanamke wa miaka 13. Huyo ni mtoto. Alihudhuria vipi after party kwa umri huo?
Na wazazi wa huyo mtoto nao ingefaa wapewe jamba jamba. wanamuachaje mtoto kwenda huko bila kujua madhara yake? Hata kama ni uhuru wa watoto, sijui huko ndani ya hiyo Bar aliingiaje au labda alikuwa na feki ID? Maswali ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…