Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Hao mastar weusi wakifanikiwa wawe wanarudi afrika tuu au nchi zao origin maana wanasakwaa asubuhi na usiku wafungwee... watu weupee wana rohoo mbaya sanaa mbwa hawaa
Ahaaa
Boss wako angekua kiwanja angekua ndani sahizi kwa kutembea na mfanyakazi wake japo kabovu.
Sio mfanyakazi wake jamaa muulize MONI anapita na ME wenzie ni kuwa tu mfumo unambeba
 
Kesi haiishi kirahisi hivyo nadhani hata Tanzania kuna sehemu kwenye sheria wanasema 'jinai haifi'.
Ignorance or not remembering anything will never be the excuse at the court of law.

Ni sawa jinai haifi, hususan pale ambapo iliacha alama fulani katika kuidai haki. Sasa mtu anakuja leo hii kusema nilimnyanyasa kingono kwenye fresher's ball kule Oasis hotel mwaka 2000 nilipokuwa nasoma chuo. Hiyo ni akili au matope.
Binafsi mahakama inabidi ifanye kazi ya ziada kuthibitisha pasipo shaka ili initie nyavuni. Maana kupata mashahidi na ushahidi siyo kitu rahisi
 
Ohoo wameamia kwa black american mwengine sasa. Snoop sijui kama atasalimika

Blacks walioshika uchumi wa nchi hawako safe tena marekani.
 
Labda uthibitike kuwa chizi lakini kama mzima kibano kipo pale pale,kumbuka hizi case zinazuka pale ametokea mlalamikaji ndiyo wanakaza kuchunguza.
 
Soma mkwara wa Jay Z hapa


Mwaka 2025 watanyolewa wengi bila ganzi
 
Mwanamke anayesema alibakwa na Sean “Diddy” Combs amebadilisha mashtaka yake na kuongeza madai kwamba pia alibakwa na Jay-Z katika sherehe hiyo hiyo.

Mwanamke huyo, ambaye ametambulishwa kama Jane Doe, anadai alikuwa na umri wa miaka 13 wakati alidaiwa kubakwa na Combs na Carter( Jay- Z) katika sherehe ya baada ya Tuzo za mwaka 2000.

Mwanamke huyo anadai alianza kuhisi kizunguzungu baada ya kunywa kinywaji kwenye sherehe hiyo na akaelekea katika chumba cha kulala kilicho karibu. Mwanamke huyo anadai Carter (Jay-Z) alimbaka kwanza, kisha akafuatwa na Combs. Mwanamke huyo anasema alimchapa Combs na kukimbia kutoka kwenye sherehe hiyo, kulingana na mashtaka yaliyorekebishwa.

Kesi hiyo ilifunguliwa awali dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini jana Mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter, Rapa na Mfanyabiashara anayejulikana kama Jay-Z, kama mshtakiwa katika kesi ya madai.
 

Attachments

  • 1733731528268.jpg
    255.7 KB · Views: 4
Juzi kati Kanye West naye kaponea chupuchupu sijui yale madai ya yule mwanamke yaliishia wapi

Twende mbele na turudi nyuma kwa jinsi Marekani inasifiwa kwa haki hawa jamaa wanaonewa au ni kweli?

Maana kama Diddy ana ushahidi wa video upo
Je! Ni blacks tu ndo wanafanya hayo... Tena ma star..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…