Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

angalia snop doggy alioa akiwa na umri gani harafu wafatilie akina Jay z ,pdd na wezake

kundi la2pac hawakuwa washenzi hivyo
kwani faith evans alikuwa ni demu wa biggie au alikuwa mlupo tu wa big na 2pac? Kwa hiyo hilo kundi wao walikuwa wanatafuna mademu wakubwa tu na si vitoto vidogo?
 
Ila washikaji ni wanetu lakini nikiangalia kwa jicho la pili huwa hawasingiziwi. Kuna mambo ya hovyo sana kwnye music industry ya Marekani na Hollywood kwa ujumla
Mkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
 
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.

Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter, rapper na mfanyabiashara anayejulikana kama Jay-Z, kama mshtakiwa katika kesi ya madai.

Carter ndiye mtu mashuhuri wa kwanza kushtakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia kuhusiana na Combs.

Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Jane Doe, anasema alikuwa na umri wa miaka 13 wakati anadaiwa kunyanyaswa kingono na Combs na Carter kwenye after party iliyofuata Tuzo za Video Music Awards mwaka wa 2000.

Mwanamke huyo anadai alianza kuhisi kichefuchefu baada ya kunywa kinywaji katika party na kukimbilia katika chumba cha kulala kilicho jirani.

Mwanamke huyo anadai Jay Z alimbaka kwanza, akifuatiwa na Diddy. Mwanamke huyo anasema alimpiga Combs na kukimbia nje ya sherehe, kulingana na kesi iliyorekebishwa.

Kwenye hii kesi Carter "Jay Z" anatambuliwa kama celebrity A

Kesi inasema wakati Jay Z anambaka binti hiyo Diddy na celebrity B ambaye ni mwanamke walikuwa wakiangalia tukio hilo. Swali ni huyo celebrity B ni nani? Wengine wameanza kusema huenda ni J Lo.

Kulingana na kesi hiyo, mawakili wa Doe walifika kwa Carter kuomba "upatanishi wa kutatua suala hili."

Jay-Z alikanusha madai hayo na kumshutumu wakili Tony Buzzbee wa Texas kwa kufungua kesi hiyo dhidi yake.
======\
In a shocking development, rapper Jay-Z, whose real name is Shawn Carter, has been accused of drugging and raping a 13-year-old girl in 2000. This allegation comes from a civil lawsuit filed in federal court on Sunday, which also names Sean “Diddy” Combs as a co-defendant.

What are the allegations against Jay Z?​

The plaintiff, referred to as “Jane Doe,” claims that the assault occurred at an after-party following the MTV Video Music Awards. According to the lawsuit, she was picked up by a limousine driver who claimed to work for Combs after she was unable to secure a ticket to the awards show. The driver allegedly told her that she “fit what Diddy was looking for” and took her to a house party where she was required to sign a document she believed was a non-disclosure agreement, although she did not receive a copy.Once inside the party, Jane Doe described a chaotic scene filled with celebrities and drug use. She recalled feeling “woozy” and lightheaded after being offered a drink. When she sought a place to lie down, Combs and Carter allegedly entered the room and began to assault her. The lawsuit states that another unidentified female celebrity witnessed the incident but did not intervene.

Legal Proceedings against Jay Z​

The lawsuit was initially filed in October in the Southern District of New York, naming only Combs as a defendant. It was refiled on Sunday to include Jay-Z. The attorney representing the plaintiff, Tony Buzbee, has previously filed multiple lawsuits against Combs for various allegations of sexual misconduct. Jay-Z is the first high-profile figure added to these claims alongside Combs.In response to these serious allegations, Jay-Z issued a statement claiming that he is the target of a blackmail attempt aimed at extorting settlement money. He expressed his outrage at the nature of the accusations, stating, “These allegations are so heinous in nature that I implore you to file a criminal complaint, not a civil one!!” He emphasized that anyone who would commit such acts against a minor should face severe consequences.”My only heartbreak is for my family,” he continued. “My wife and I will have to sit our children down… and explain the cruelty and greed of people. I mourn yet another loss of innocence.”

Current Status of Diddy​

Sean “Diddy” Combs has denied all accusations against him. Recently, he faced criminal charges related to sex trafficking and racketeering and is currently awaiting trial scheduled for May 5 while being held in a Brooklyn detention center.

Anguko Hilo linakuja
 
Kanye Weste alishaongea hili jambo mara baada ya Diddy kuingia matatani,alisema watamalizwa wote,kwani kuna societies wanazitumikia lakini mwisho wa siku zitawacheua na ndio mwisho wao,walishatoa mpk kafara za watu wao wa karibu,lkn haiatawasaidia...
Kanye aliwataja wengi hadi lebron james na jordan wakaishia kumuita kichaa. Ila kanye hagusiki, kile ni kisiki
 
Mkuu haya mambo sio uongo, siku waseme wa release hizo footage za kwenye hizo party za Diddy watu watashangaa sana. Industry hii ina ushetani mwingi sana, hata hapa bongo ni vile tu haipewi uzito sana ila kuna mabalaa sana
Hapa nakubaliana na wewe party za Sean Combs zilikuwa zina mabalaa sana. Akishalewa kumshika tako mwanaume mwenzake alikuwa haoni aibu. Anawaambia "baada ya kula sasa ni muda wa kuliwa after party"
 
Juzi kati Kanye West naye kaponea chupuchupu sijui yale madai ya yule mwanamke yaliishia wapi

Twende mbele na turudi nyuma kwa jinsi Marekani inasifiwa kwa haki hawa jamaa wanaonewa au ni kweli?

Maana kama Diddy ana ushahidi wa video upo
Mkuu kwao tech. ipo mbali na ndo inatumika kufanya uchunguzi. Kama kweli walimbaka huyo manzi na ikawa hawakutumia kinga, wakipekua body count yake wanaweza kupata DNA za hao maniga ndani ya mwili wake na kutumia kama ushahidi. Huwa hawakurupuki.
 
kwani faith evans alikuwa ni demu wa biggie au alikuwa mlupo tu wa big na 2pac? Kwa hiyo hilo kundi wao walikuwa wanatafuna mademu wakubwa tu na si vitoto vidogo?
Notorious B.I.G. (Christopher Wallace) na Faith Evans walioana na walifunga ndoa Julai 4, 1994, baada ya kukutana kupitia Puff Daddy (Diddy), ambaye alikuwa msimamizi wa lebo ya Bad Boy Records. Uhusiano wao ulikuwa wa haraka, kwani walifunga ndoa wiki mbili tu baada ya kukutana.

Hata hivyo, ndoa yao ilikumbwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za usaliti na matatizo mengine ya kibinafsi. Licha ya hayo, walibaki pamoja hadi kifo cha Biggie Machi 9, 1997. Baada ya kifo chake, Faith Evans alitoa wimbo maarufu wa kumbukumbu, "I'll Be Missing You," akimkumbuka Biggie.
 
Huyo Pididii atakuwa kawa-pididii wengi. Naona ngono ilikuwa ni moja ya sadaka kwa miungu wanayoitumikia. Yaani ukipata bikra sadaka inakuwa kubwa zaid - ukipata kwa mparange tena dume ndo balaaa - inapokelewa kwa shangwe kule kuzimu.

Dunia hii ina siri nyingi sana.
 
kwani faith evans alikuwa ni demu wa biggie au alikuwa mlupo tu wa big na 2pac? Kwa hiyo hilo kundi wao walikuwa wanatafuna mademu wakubwa tu na si vitoto vidogo?
wao ilikuwa ukijifanya mjanja wanakugongea demu wako au mpenzi ,hawaiti na kulewesha pombe au madawa ...demu wako mtumzima anapigwa saundi analiwa wanakuacha uendelee kulalamika tu...no case mana ni mrupo
 
Kanye aliwataja wengi hadi lebron james na jordan wakaishia kumuita kichaa. Ila kanye hagusiki, kile ni kisiki
vipi wale mastaa wanaohamasisha ulevi, ukahaba na uovu mwingine, siku wakikataa kazi hiyo si ndio kufunguliwa kesi za ngono kuwa huko nyuma walifanya ufuska kwa watoto wadogo na wanawake kwa kuwalazimisha? Anaibuka mwanamke mtu mzima akidaia alibakwa akiwa mtoto na msanii fulani, kesi inaanza.
 
241208-jay-z-lawsuit-wm-310p-a719c7.jpg

Habari mpya kunako anga za kiwanda cha burudani huko Marekani ni kwamba Jay-Z amefunguliwa kesi ya madai inayomuhusisha binti wa miaka 13, ambapo inasemekana mwaka 2000 wakiwa na Sean "Diddy" Combs walihusika wote katika kumlawiti binti huyo.

Mshtaki huyo ambaye jina lake halikujulikana, aliyetambulika kama "Jane Doe," alisema shambulio hilo lilitokea baada ya kupelekwa kwenye hafla ya baada ya hafla ya Tuzo za Muziki za Video za MTV.

Kesi hiyo iliwasilishwa mnamo Oktoba katika Wilaya ya Kusini ya New York, ikimuorodhesha P-Diddy kama mshtakiwa, lakini ilifunguliwa upya Jumapili ili kumjumuisha Jay-Z.

IMG_20241209_091800.jpg


\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\

Jay-Z, the star rapper and entrepreneur whose real name is Shawn Carter, was accused in a lawsuit Sunday of raping a 13-year-old girl in 2000 allegedly along with Sean “Diddy” Combs.

The anonymous accuser, identified only as “Jane Doe,” said the assault happened after she was driven to an MTV Video Music Awards after-party.

The federal lawsuit was originally filed in October in the Southern District of New York, listing Combs as a defendant. It was refiled Sunday to include Carter.

Texas-based attorney Tony Buzbee, who filed the suit, did not comment.

Carter called the allegations "idiotic" in a lengthy statement Sunday evening and alleged that Buzbee was engaged in unprofessional behavior.

"These allegations are so heinous in nature that I implore you to file a criminal complaint, not a civil one!! Whomever would commit such a crime against a minor should be locked away, would you not agree?" Carter said in a statement to NBC News. "These alleged victims would deserve real justice if that were the case."

A spokesman for the U.S. Attorney’s Office for the Southern District of New York declined to comment on whether the office is pursuing the case when shown NBC News' report on the lawsuit.

Buzbee has filed several lawsuits in recent months — all have withheld their complainants’ names — accusing Combs of assault and rape. This is the first suit in which he has named another high-profile defendant.

In a statement, legal representatives for Combs called the suits "shameless publicity stunts, designed to extract payments from celebrities who fear having lies spread about them, just as lies have been spread about Mr. Combs."

"As his legal team has said before, Mr. Combs has full confidence in the facts and the integrity of the judicial process. In court, the truth will prevail: that Mr. Combs never sexually assaulted or trafficked anyone—man or woman, adult or minor,” the statement read.

Federal prosecutors in New York criminally charged Combs in September with racketeering, sex trafficking and other offenses, and he is behind bars at Brooklyn’s Metropolitan Detention Center after he was denied bail for a third time last month. His trial is scheduled for May 5.

Prosecutors said in a court hearing last month that they are in the process of potentially bringing more charges against Combs in a superseding indictment.

Before the lawsuit was refiled Sunday, "Carter received a letter from Plaintiff’s counsel requesting a mediation to resolve this matter," Buzbee wrote in the suit. In response to the letter, which NBC News has seen, Carter filed his own lawsuit against the accuser's attorneys, Buzbee wrote in the suit.

“You have made a terrible error in judgement thinking that all ‘celebrities’ are the same,” Carter added in his statement Sunday. “I’m not from your world. I’m a young man who made it out of the project of Brooklyn. We don’t play these types of games. We have very strict codes and honor. We protect children.”

The lawsuit claims that in 2000, when Doe was 13, Combs and Carter raped her at a house party after the MTV Video Music Awards in New York.

The lawsuit says a friend dropped her off at the VMAs at Radio City Music Hall. She did not have a ticket, and she approached various limousine drivers to try to gain access to the show or an after-party.

One driver, the lawsuit says, told her that he worked for Combs and that she “fit what Diddy was looking for.” He invited her to a party after the show and told her to return to his car later in the evening after he transported Carter and Combs, the suit says.

Later, the driver picked her up, the suit says, and after 20 minutes they arrived at a white house with a U-shaped driveway, the suit says. She had to sign a document she believed was a nondisclosure agreement on arrival — and did not receive a copy — to enter the party, which the suit says was filled with celebrities and people doing marijuana and cocaine.

She was offered a drink that made her feel “woozy, lightheaded and felt [like] she needed to lie down,” the suit says, and she went into a room to rest.

Shortly afterward, the suit says, Combs and Carter entered the room with Combs saying, “You are ready to party!”

That’s when, she alleges, Carter removed her clothes, held her down and raped her while Combs and an unnamed female celebrity watched. She says Combs also raped her as Carter and the woman looked on.

The suit says that she was able to resist being forced to perform oral sex on Combs by hitting him in the neck and that he “stopped.”

After the alleged assault, the suit says, she “grabbed her clothes” and left. She made her way to a gas station, where she called her father, it says.

The accuser is seeking unspecified damages. The lawsuit is filed under New York’s Victims of Gender-Motivated Violence Protection Act.

"My only heartbreak is for my family," Carter said in the statement. "My wife and I will have to sit our children down, one of whom is at the age where her friends will surely see the press and ask questions about the nature of these claims, and explain the cruelty and greed of people. I mourn yet another loss of innocence.

"Only your network of conspiracy theorists, fake physics, will believe the idiotic claims you have levied against me that, if not for the seriousness surrounding harm to kids, would be laughable," Carter added.

NBC NEWS
 
Back
Top Bottom