HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Witness bhana... usiniambie hufahamu kwamba Gadna ni mlevi since then!Well, achana na makaratasi, nani alipigwa kibuti hadi akafrurastrate akawa analewa hovyo kagonga halafu anakimbizana na matrafiki mjini? Jide or mkojozo?
Haya ni nani alikimbiwa in da house Commando or Marioo?
Nijibu kwanza hayooo....then tuendelee!
Basi sawa,lakini tukimaliza haya itabidi tuendelee na yale ya kwangu kwako... au na leo nimuite Valentina?!Nijibu kwanza hayooo....then tuendelee!
Hivi kwa nini watu siku ya kuombana mapenzi huwa hawaweki hadharani? Lakini siku ya kuachana ndo mambo huwa hadharani?
Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
Atashughulika na womaniser gadner kwanza
Hivi we jamaa unatumia nini kufikiri.... Hata mabinti hapa wamekuzidi akili... Hasara...Heshima gani unayoitaka wakati bado unatukana kenge tu wewe!
Hunishindi mimi kumbe na yeye ni wale waleKati ya miaka ambayo nimemshusha vyeo jide ni mwaka huuu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
.....na ninyi mnaofuatilia haya maujinga wote "mademu" tu!Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?
Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]
Drama queen extraordinaire!!!!
Nilitaka nimjibu nikampotezea manake huwaga thread zake na comments zake ni kama mtu ambae hana akili nzuri.........Na wewe unaechangia.
Haaaa haaa haaa haaa.....na ninyi mnaofuatilia haya maujinga wote "mademu" tu!
Ndukiii...Witness bhana... usiniambie hufahamu kwamba Gadna ni mlevi since then!
Kukimbiwa? Jana nilikuandikia simulizi ya kweli lakini baadae nilii-delete! Mtu umeacha, sasa ya ni nini tena unatapatapa kwenye social medias ku-prove kwamba umeacha! Umeacha au umetengenezewa mazingira ili uache?!
By the way, mtu mwenye kazi yake tangia lini akawa Mario? Una monthly paycheck, commission ya matangazo, kuna za commercial Voice Overs... bado unakuwa marioo!!Basi sawa,lakini tukimaliza haya itabidi tuendelee na yale ya kwangu kwako... au na leo nimuite Valentina?!