Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jamaa alikuwa na moyo kweli, hebu fikiria 9 yrs bila mtoto na umemvumilia tu huyo raia kwa shida zote hizo lakini siku akitoka atakutusi.
Kama jide angeolewa na mtu mwepesi na mwenye akili ndogo , basi ndani ya miaka 2 tu angetimuliwa. Amheshimu sana jamaa, kwani fahar ya ndoa watoto na inaonekana jamaa yeye alikuwa anatema mbegu ila shamba ndio lilikuwa halioteshi mimea ila kaamua kumvumilia mkewe ili ajisikie naye ni sawa na wanawake wengine tu.
 
Well, achana na makaratasi, nani alipigwa kibuti hadi akafrurastrate akawa analewa hovyo kagonga halafu anakimbizana na matrafiki mjini? Jide or mkojozo?

Haya ni nani alikimbiwa in da house Commando or Marioo?

Nijibu kwanza hayooo....then tuendelee!
Witness bhana... usiniambie hufahamu kwamba Gadna ni mlevi since then!

Kukimbiwa? Jana nilikuandikia simulizi ya kweli lakini baadae nilii-delete! Mtu umeacha, sasa ya ni nini tena unatapatapa kwenye social medias ku-prove kwamba umeacha! Umeacha au umetengenezewa mazingira ili uache?!

By the way, mtu mwenye kazi yake tangia lini akawa Mario? Una monthly paycheck, commission ya matangazo, kuna za commercial Voice Overs... bado unakuwa marioo!!
Nijibu kwanza hayooo....then tuendelee!
Basi sawa,lakini tukimaliza haya itabidi tuendelee na yale ya kwangu kwako... au na leo nimuite Valentina?!
 
b9dcf3a723695562528f058fc63d2def.jpg

c73cbce8c83c9cccbc819388e74f43f1.jpg

Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
Hivi kwa nini watu siku ya kuombana mapenzi huwa hawaweki hadharani? Lakini siku ya kuachana ndo mambo huwa hadharani?
 
Huyu g amemkojoza kweli komando na g hana habari nae na story tulishaisahau ila nashangaa komando analeta drama tena.kubwa jinga
 
Huyu mwanamke kumbe, hamnazo ndiomana gadna alisema hataki kusikia ten habari za mtu aliecojoza kwa miaka 10

Halmashauri ya kichwa, chake, ni upuuzi kabisa
 
Mwanamke asiezaa ni kama kopo la blue band ukishakojoza tupa kulee.
 
Ndiyo mawazo ya mpumbavu kuna mtu mmoja alisema watu wa aina ya jide ndivyo walivyo kwa sababu ili uwe timilifu watoto ni muhm sasavsjui lkn
 
Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?


Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]

Drama queen extraordinaire!!!!
.....na ninyi mnaofuatilia haya maujinga wote "mademu" tu!
 
Witness bhana... usiniambie hufahamu kwamba Gadna ni mlevi since then!

Kukimbiwa? Jana nilikuandikia simulizi ya kweli lakini baadae nilii-delete! Mtu umeacha, sasa ya ni nini tena unatapatapa kwenye social medias ku-prove kwamba umeacha! Umeacha au umetengenezewa mazingira ili uache?!

By the way, mtu mwenye kazi yake tangia lini akawa Mario? Una monthly paycheck, commission ya matangazo, kuna za commercial Voice Overs... bado unakuwa marioo!!Basi sawa,lakini tukimaliza haya itabidi tuendelee na yale ya kwangu kwako... au na leo nimuite Valentina?!
Ndukiii...

Happy New Year 2017 mkuu..
 
Duhh sasa ruksa kuolewa changamkieni Fursa hiyo ya ndoa
 
Back
Top Bottom