HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Jamaa alikuwa na moyo kweli, hebu fikiria 9 yrs bila mtoto na umemvumilia tu huyo raia kwa shida zote hizo lakini siku akitoka atakutusi.
Kama jide angeolewa na mtu mwepesi na mwenye akili ndogo , basi ndani ya miaka 2 tu angetimuliwa. Amheshimu sana jamaa, kwani fahar ya ndoa watoto na inaonekana jamaa yeye alikuwa anatema mbegu ila shamba ndio lilikuwa halioteshi mimea ila kaamua kumvumilia mkewe ili ajisikie naye ni sawa na wanawake wengine tu.