santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 348
- 369
huyu dada yetu sasa busara zake zimefika ukomo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usinene ukamara, mbona Kapteni ana kibarua chake kitambo au unataka kusema mshahara wote anapiga gambe bila kubakisha nyumbani? Gadner huwa hapendi kuongea ndo maana Jide anaonekana malaika lkn pengine nae ana yake ya moyoniGardner alizidi nae acha yamkute. Kila kitu bure mwenzake akienda mikoani kutafuta yeye anaonesha chaps kitandani kwa Jide. Sijui watu wengine bwana wako vipi? Anachoonesha Jide in nafasi iko wazi tujitokeze akina baba jamaa kabwaga manyanga.Ulevi bwana? Na wanaume kama mabinti.Aibu Gardner.
Mbona wewe hua unaelezea jinsi wanaume wanavyokukula tigo humu, hua yanamuhusu nani au na wewe hua unana ni akili?hayatuhusu kumbe jide hana akili eeh
wewe ukifumuliwa marinda usidhani ni kila mtuMbona wewe hua unaelezea jinsi wanaume wanavyokukula tigo humu, hua yanamuhusu nani au na wewe hua unana ni akili?
Najua wewe ni kichwa cha panzi umesahau jinsi ambavyo hua unajisifu humu ulivyo hodari kuliwa tigo na waume za watu, au niweke nukuu ya hizo sifa zako hapa nikutoe nishai?wewe ukifumuliwa marinda usidhani ni kila mtu
Hakuna uzee hapo jide alikuwa 25 na gadner 32 wakati wanaoanaNilishasema kuwa kumpenda mwanamke mzee inahitaji moyo wa reli ya kati