johnsonlinda650
Member
- Oct 27, 2014
- 9
- 1
Yaani wakati una post huu Uzi ulitegemea kupata misifa. Sasa ndio nini hiki unatuletea? Unakusanya fikra na mitazamo yako ya kimajungu halafu unatushirikisha sisi.
Ova
Samahani Sana kiongozi kwa hilo.Huyo ni wale watu warefu thana kutoka milima ya northern Tanzania! Chakula kikuu ni viadhi vitamu! Tutake radhi wanzaramu yakhe!
King'asti mbona hii post umechangia kwa hisia mno? Naamini umeisoma yote lakini kipengele cha jide kumponda mtalaka wake ndio ikawa ishu kweli! Nimejaribu kujisoma tena sijaona shida mahali nimeelezea haiba ya jide kwa mtazamo wangu kutokana na background yake, na kunogesha mada nikatoa mifano hai, jide ni celeb kwa hapa bongo ni rahisi kuonekana na wengi, na sio siri yeye kugombana na kila mtu ambaye anamkera na hili mbona liko wazi kabisa? Mbona kama inaonekana kama nimefanya jambo moja baya sana?Hehehe wifi mie nafurahi umecheka. Kaka akikuletea stress tu uniambie tumnyoroshe kwa rula. Hope uko ok my dear
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
King'asti mbona hii post umechangia kwa hisia mno? Naamini umeisoma yote lakini kipengele cha jide kumponda mtalaka wake ndio ikawa ishu kweli! Nimejaribu kujisoma tena sijaona shida mahali nimeelezea haiba ya jide kwa mtazamo wangu kutokana na background yake, na kunogesha mada nikatoa mifano hai, jide ni celeb kwa hapa bongo ni rahisi kuonekana na wengi, na sio siri yeye kugombana na kila mtu ambaye anamkera na hili mbona liko wazi kabisa? Mbona kama inaonekana kama nimefanya jambo moja baya sana?
Ninajua kuwa haya mambo hutokea kwa pamoja, jide hayupo pekee ila kwakuwa yeye ni maarufu ndio imekuwa ishu, wapo wengi hata hapa jamvini wanaface the same situation kwahiyo wanapoona post ya namna hii ni kama kuamsha vilivyolala
Hahaha mbona kama unajali sana opinion yangu?
Kati ya celebrities wanaonifurahisha ni jide na gadner. Uliona recently ya flora mbasha na dida? Mnaachananaenda kutoa press release, inahusu vipi kwa mfano? Ndoa yao hata siku moja haikuwa ya kuongelea mambo yao hadharani. Na kama wametengana inawezekana ni bora kwa afya. Hiyo ni moja.
Pili, mie sio mtu wa masimango hata kama kwenye maisha inatokea siku nina kipato kikubwa kuliko mwenza wangu. Ila hakuna kitu kigumu kwama mwenza ambae ana inferiority complex (typical uliyoonyesha hapa). Gadner ana kipato pia, sio kula kulala. The fact kuwa mkewe alipata hela zaidi haiondoi nafasi yake kama baba nyumbani. Mwanaume anaejiamini hawezi hata kugundua kuwa mke wangu anazichanga zaidi, au anaenda abroad kila leo. Wewe ndio unamsimanga gadner hapa.
Tatu: Kama kuna mwenza ambae siwezi kutolerate ni yule asiejiamini na anayeona mafanikio yangu kama yanahusika na kila ninalofanya. Mengine ni personality tu, hata kama sina hela labda nitakuwa jeuri tu? Kwani jide wakati anaimba wimbo wa machozi pia alikuwa katendwa na mwanaume? Kina yahya wapo wengi tu na mziki una reflect mambo mengi kwenye jamii and should not be personalized.
I hope majibu yangu yatabadili mtazamo wako kaka. Sio tu juu ya jide, lakini jinsi ya kuwa mtu mwenye maisha ya furaha wakati wote na sio kujistukia stukia kila wakati. Sijui umenielewa?
ni mawazo yako tu...!
Kwani mbona aliimba 'UNDERSTANDING' feat TID na 'WANAUME KAMA MABINT'
akiwa na Gadner., wataka tuambia alimuimbia G.
Uswahili Mzigo
Let's compromise that way King'asti, Kwakuwa bado umestick kwenye kipengele kilekile kimoja kati ya post yangu nzima! Post yangu ilijikita kwa visasi na vijembe vya Jide kwa wale anaotofautiana pakubwa, shida ni kwamba umenihukumu directly naomba hebu pitia tena post yangu pls
kaka umenichanganya kuna mdukuzi na mdakuzi huyu aliyekujibu ni mdakuzi na mimi ni mdukuzi check it out kwenye id najua atasababisha confussion sana kwa members humu sijui ngoja tusubiriHeee mdukuzi vipi nitegemee misifa kwani kuna zawadi hapa jamvini? Siwezi kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine ni yangu binafsi na majungu yako wapi hapo au huelewi nini maana ya majungu? Siwezi kupost kitu nikategemea kimfurahishe au kimkere kila mtu huo ni ujuha....jide ana die fans wake na wapo hata hapa na wamechangia mada kwa mtazamo wao
Kinachonichekesha hapa lakini hakinishangazi ni mswahili anapojifanya mzungu or whatever, siogopi kuandika kitu eti tu nikiandika hivi nitaonekana 'mswahili' katu sitakaa nifanye hivyo sikuumbwa hivyo...nilichoandika ndivyo kilivyo kilishaandikwa na kusemwa sana kabla
Ni shida sana mtu anapojikataa, na kujipa nafasi ambayo hastahili nimeandika mtazamo wangu silazimishi kila mtu akubaliane nami kila mtu anachangia kwa jinsi alivyoelewa siwezi kugombana na yeyote what for afterall....!!!?
Jamani King'asti yaishe basi tuko jukwaa huru na si kila kitu tunaweza kukubaliana lazima kuna mahali tuwe na mawazo tofauti, nimeandika hii post kutokana na historia ya jide. Ukinihukumu kwa 'uswahili' bado si tatizo kwangu lakini jaribu kufuatilia hilo tangazo lisikilize halafu utaniambia ...all in all thanx for sharing
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.
Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.
Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.
As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
Kwenye hilo jina jipya, kwanini hujahisi G ni Gardiner?!
Hahaha mbona kama unajali sana opinion yangu?
Kati ya celebrities wanaonifurahisha ni jide na gadner. Uliona recently ya flora mbasha na dida? Mnaachananaenda kutoa press release, inahusu vipi kwa mfano? Ndoa yao hata siku moja haikuwa ya kuongelea mambo yao hadharani. Na kama wametengana inawezekana ni bora kwa afya. Hiyo ni moja.
Pili, mie sio mtu wa masimango hata kama kwenye maisha inatokea siku nina kipato kikubwa kuliko mwenza wangu. Ila hakuna kitu kigumu kwama mwenza ambae ana inferiority complex (typical uliyoonyesha hapa). Gadner ana kipato pia, sio kula kulala. The fact kuwa mkewe alipata hela zaidi haiondoi nafasi yake kama baba nyumbani. Mwanaume anaejiamini hawezi hata kugundua kuwa mke wangu anazichanga zaidi, au anaenda abroad kila leo. Wewe ndio unamsimanga gadner hapa.
Tatu: Kama kuna mwenza ambae siwezi kutolerate ni yule asiejiamini na anayeona mafanikio yangu kama yanahusika na kila ninalofanya. Mengine ni personality tu, hata kama sina hela labda nitakuwa jeuri tu? Kwani jide wakati anaimba wimbo wa machozi pia alikuwa katendwa na mwanaume? Kina yahya wapo wengi tu na mziki una reflect mambo mengi kwenye jamii and should not be personalized.
I hope majibu yangu yatabadili mtazamo wako kaka. Sio tu juu ya jide, lakini jinsi ya kuwa mtu mwenye maisha ya furaha wakati wote na sio kujistukia stukia kila wakati. Sijui umenielewa?
Mgahawa waitwa MOG sio MG...
Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G
Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi