JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?


na wewe ni mmoja wa wanaokula upenuni kwake na kuusifia uzuri wake?
 

we unazan watakula wap wakat mshahara kwa mwez anapokea dola 200
 
tunahangaikia micro issues... huyo jamaa ana finger prints zake zaidi ya mabara mawili...
 
Kule facebook,Adolf Mkono kaandika hivi......"DEATH ANNOUNCEMENT:Th -e chairman AUCT ,Mr Justus Baguma has passed away this morning(13.02.2 -013).The body is in Muhimbili Hospital,please - lets meet at UCHUMI HOUSE from 4pm this evening.R.I.P mr JB Belmonte
 

ndo huyu aliyefariki leo mchana?
 
Kwa kuwa mtajwa ameshatangulia mbele za haki, Mwanakijiji hebu hitimisha makala yako ili roho yake ipumzike inakostahili
 
Nimesikia Clouds FM jamaa kavuta na Msiba Upo Quality Centre si mchezo Maelezo zaidi ya Mazishi hadi atakapowasiri mke wake... SI Mchezo Mwenyezi Mungu Aiweke Roho ya Marehemu Pahali panapostahili
 

Kwenye red: anakufa kesho?!!!
 
Reactions: 911
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi,ni katika wachache waliotoka nchi za jirani na kuwekeza TZ na ametupa changamoto ktk uwekezaji kama watu weusi kwamba tunaweza,,mfano wake ni wa kuigwa,cna mimi ni mmoja wao wanaofata nyayo zake na kuzisimamia,ntasimama imara kuwa mwekezaji mzawa..RIP Bro JB

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ni kweli tungefaidi sana hapa nchini
 
Ulisikiaje kuhusu JB tudadavulie kidogo....Mimi Ndo kwanza nalisikia kwako
 
Haya amekufa sasa . Ukweli uwekwe hadharani ili watu wajue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…