JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?


Unayoysema inawezekana yakawa ya ukweli. Lakini MMJ alipouliza huyu mtu ni nani ana habari gani zilimzomfanya amuulizie? MMJ inabidi arudi hapa atwambie. Hata hivyo, huyu mtu ananikumbusha ya "Mark Twist Kinyanjui" kwa wale waliokuwepo enzi zile!!!!

Tiba
 
kwa stahili yetu ya utendaji wa kazi ndio maana tunakuwa na mashaka na kila mtu anayekuja nchini na kutajirika kwa kasi ilhali sisi tukiendelea kutembeza bakuli ,kuchangiana mamilioni kwenye harusi,kampuni zetu zikiendeleza kudhamini ma-miss kwa milioni huku zikikata kusomesha wafanyikazi wao.Let's keep up our culture ya kuwa na mashaka na kila tajiri kwa sababu inaonekana tushaamua kufunga mkataba na umasikini...after all you are very right,behind every great rich man lies great deeds of evil.I'm also right in believing that behind most rich men lies great deeds of pure legal hard work!
 
Jambo la kujiuliza je tunaweza pata mtanzania hata mmoja aliyewekeza nchi ya kenya au uganda akafikia level hii ya mafanikio, wakenya na waganda wako wengi hapa, kuna wanaomiliki hadi vyuo kama kiu nk sasa huu ni mfano mdogo na picha tunayopata kutokana na muungano huu wa jumia ya afrika mashariki na chances zetu za kugain chochote kutoka ktk jumui hii maana sisi ni watu wa porojo tu!
 
so what's your point?tuendeleze kasumba yetu ya kila tajiri ni fisadi ama freemason kwa sababu ujamaa hautaki matajiri?

his point is; never take things for granted, especially the valuable ones..................god given gifts are rare......!!!!!!!!!
 

Ok....ok you have just opened up a very new avenue for further probing..............hapo kwenye red and bold
 
Does anybody know who is he and what is he doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?
I find your statement to be too subjective...ni kama umesha-form an opinion about this 'JB character'.Ni sawa na mtu kukuuliza ' You look so nervous,how do you feel?'
 

Mzee Mwanakijiji Pamoja na heshima yote niliyonayo kwako, naskitika kuona unaleta thread iliyokaa kimajungu kama hii.
 
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre

Mimi nadhani kama hao mabint wanaumri zaidi ya miaka kumi na nane siyo ishu. Ishu ninayo ifurahia kwa uwekezaji wa JB nimepata tetesi kwamba kuna mkono wa mafisadi waliokuwa wametoroshea pesa nje wameamua kurudisha vijisenti hivyo nyumbani.
 
Mzee Mwanakijiji kwenye uchunguzi wako mjumuishe na yule Mmiliki wa Ocenic Beach Resort kwa sasa anamiliki Baraka Plaza pamoja na TSN Supermarkets bila kuhesabu Towers zinazoibuka Upanga na Mikocheni.
 
Tusker Bariiiidi,

I think ndiye huyu tulikuwa tunampigia story; unafahamu JB inasimama badala ya nini?

Nafikiri unataarifa za kutosha sasa kuhusu huyu JB hivyo ni muda muafaka sasa kutuambia hizo story mlizokua mnampigia zililenga wapi mpaka ukapata msukumo wa kuleta hoja iyo hapa jamvini, pia itatuondolea hisia kuwa mlikuwa mkipiga majungu na kusengenya tu.
 
ni kweli nenda KCB, JB ni mmoja wa wakopaji wakubwa na anae heshimika na bank hiyo ...
Kuna hii benki NiC nayo imekaaje? Ni ya nani? Naona wazawa wanahomola mabilioni humo kwa staili ya mikopo.
 
A fair face may hide a foul heart!

Uchunguzi unaendelea!
 

Mkuu unachosema ni sahihi kabisa, mtu yeyote ambaye yuko familiar na lugha/mikato zinazo tumika kwenye social networks karibu zote duniani awezi kuwa overly concerned na style zinazo tumiwa na members cha muhimu ni kupata ujumbe.
 
Kuna pia huyu jamaa anayeitwa JB kule Kigamboni ... ananunua viwanja na mashamba kwenye prime areas kule kwa kasi ya kutisha. Kama sijakosea kule wananchi wanamfahamu kama ni Mrundi na sio Mganda, sasa hii misconception sijui ni kama inafanywa na yeye purposely au wananchi wanashindwa kutofautisha sababu ya lafudhi yake. Anajenga sehemu nyingi pia kule gezaulole, na ni maarufu sana kwa vijana na mafundi ujenzi kule sababu ya kazi nyingi anazowapa ... pale Gezaulole ukimuuliza kijana yeyote kule kuhusu JB hatoshindwa kukupa stori zake na uwekezaji wake kule.

Naomba kufahamishwa, hivi sheria zetu za umiliki wa ardhi siku hizi zinaruhusu mtu asiye raia wa Tanzania kununua na kumiliki ardhi??
 
Belmont...acha huyo tu, kuna waganda, makongo kibao wanaofanya kazi ya utapeli tu kwenye sekta ya madini..wanajiita generals, kanali, waasi kutoka kongo..kumbe matapeli wakubwa..mwaka jana walitutapeli fedha nyingi tu, wakakimbia zao kongo..lakini kibaya zaidi hawa jamaa huwa wakishatapeli hugawa fungu kwa polisi..ili wsikamatwe..wameharibu kabisa sekta yetu ya madini...na njia yao kubwa wanayotumia..ilikuishi hapa ni kuoa mabinti wa kitanzania na kuzaa nao ili kuhalalisha uwepo wao hapa nchini..nashangazwa na kusikitishwa sana na hali kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…