Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
KIU ni chuo cha Mzee (M7) ila hao wengine wanatumiwa kama kuficha mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nderingosha umenena.Hapa sasa tunakuja kwenye issue....na nadhani hapa ndo kuna basis ya maswali ya Mwanakijiji.....Watu wamekazania kujadili lifestyle ya mganda JB na kusahau bigger picture......Kwa navojua mmiliki wa awali kabisa wa hotel zooote zinazoitwa Paradise ni huyu msomali/wasomali......Nadhani jina la JB kama mmiliki wa Paradise limejitokeza baada ya yeye kuuziwa hiyo Paradise hapo Mkapa towers na huyu Msomali/wasomali......Nachofahamu tu ni kwamba huyu msomali mmiliki wa paradise amekua tz kwa deal hizi za hotel kwa muda mrefu na kwa chini chini anahusishwa na kula deal kubwa na watawala(waliopo/walopita)......Kwa wasiojua.....huyu msomali ndie aliyekuwa mmiliki wa ile hotel kali sana ya Paradise Bagamoyo hotel....which was one of the best hotels in TZ (nimeshahudhuria semina nyingi pale)....Kama mjuavyo hotel hii iliungua na kuteketea kwa moto totally....Baada ya kuungua..watu wa karibu(haswa wahudumu)..walikuja na tetesi kuwa ile ilikuwa planed arsenal (toka kwa wamiliki)...ili wapige hela za bima...kwani hotel ilikuwa na bima....sasa sijui kama hizi ni tetesi za kweli au vipi na kama jamaa alipiga hela ya bima au la...lakini word went around about that...Sasa leo naskia kamuuzia JB Paradise ya Mkapa towers!!!....something is very fishy here.........only time will tell....keep on probing Mwanakijiji.....
Tutajuaje kama kweli alikosana na Museveni? Maana hata Marehemu Shekhe Yahya alikaa sana Kenya sababu eti "aligombana Nyerere".
Mzee Mwanakijiji.
Mbona Wazungu matajiri wa Tanzania utaki kufahamu habari zao wewe na weusi tu.
Mbona hujauliza yule Mzungu mmiliki wa Hoteli ya Sleep Way, ni nani na anafanya nini Tanzania.
wa tz tufanye kazi tuache uvivu/wivu na majungu.kumiliki siyo tatizo. Anamiliki kwa namna gani ndiyo la kujadili
Ule msemo wa "uchumi tunao lakini tumeukalia" sasa ndio uko wazi kabisa. Wageni wanapoligundua hilo huja na kuhodhi tulivyonavyo wakituaja kulalamika. Sababu zinazowafanya WaTz kutowekeza Kenya na Uganda zinaweza kuwa ni pamoja na ama matajiri wetu hawana innitiatives au huko sheria za uwekezaji ni makini zaidi.Jambo la kujiuliza je tunaweza pata mtanzania hata mmoja aliyewekeza nchi ya kenya au uganda akafikia level hii ya mafanikio, wakenya na waganda wako wengi hapa, kuna wanaomiliki hadi vyuo kama kiu nk sasa huu ni mfano mdogo na picha tunayopata kutokana na muungano huu wa jumia ya afrika mashariki na chances zetu za kugain chochote kutoka ktk jumui hii maana sisi ni watu wa porojo tu!
Hapo nyekundu, tusiwalaumu hawa wanaoingia na kufanya wanayofanya, bali tulaumu mfumo wetu unaowaruhusu kufanya wanayofanya. Nakubaliana na wachingiaji waliosema kuwa WaTz tunachojua ni kulalamika, kutaka kila kitu kwa njia ya mkato na ndio maana tukihongwa kidogo tu tunawachia.Belmont...acha huyo tu, kuna waganda, makongo kibao wanaofanya kazi ya utapeli tu kwenye sekta ya madini..wanajiita generals, kanali, waasi kutoka kongo..kumbe matapeli wakubwa..mwaka jana walitutapeli fedha nyingi tu, wakakimbia zao kongo..lakini kibaya zaidi hawa jamaa huwa wakishatapeli hugawa fungu kwa polisi..ili wsikamatwe..wameharibu kabisa sekta yetu ya madini...na njia yao kubwa wanayotumia..ilikuishi hapa ni kuoa mabinti wa kitanzania na kuzaa nao ili kuhalalisha uwepo wao hapa nchini..nashangazwa na kusikitishwa sana na hali kama hii
nderingosha, Paradise Bagamoyo hotel kweli iluungua moto na mmiliki alisema (mbele ya vyombo vya habari) kuwa wataijenga kama ilivyo ndani ya mwaka mmoja. Na kilio chake kikubwa ilikuwa ni kuokoa ajira watanzania. But we know, baada ya moto waliondoka Bagamoyo na kuanza kuwekeza ndani ya jiji kwa kuanzia wakachukua City Garden, then hapo Benjamin Mkapa na pia wana investment Nyerere Rd.Hapa sasa tunakuja kwenye issue....na nadhani hapa ndo kuna basis ya maswali ya Mwanakijiji.....Watu wamekazania kujadili lifestyle ya mganda JB na kusahau bigger picture......Kwa navojua mmiliki wa awali kabisa wa hotel zooote zinazoitwa Paradise ni huyu msomali/wasomali......Nadhani jina la JB kama mmiliki wa Paradise limejitokeza baada ya yeye kuuziwa hiyo Paradise hapo Mkapa towers na huyu Msomali/wasomali......Nachofahamu tu ni kwamba huyu msomali mmiliki wa paradise amekua tz kwa deal hizi za hotel kwa muda mrefu na kwa chini chini anahusishwa na kula deal kubwa na watawala(waliopo/walopita)......Kwa wasiojua.....huyu msomali ndie aliyekuwa mmiliki wa ile hotel kali sana ya Paradise Bagamoyo hotel....which was one of the best hotels in TZ (nimeshahudhuria semina nyingi pale)....Kama mjuavyo hotel hii iliungua na kuteketea kwa moto totally....Baada ya kuungua..watu wa karibu(haswa wahudumu)..walikuja na tetesi kuwa ile ilikuwa planed arsenal (toka kwa wamiliki)...ili wapige hela za bima...kwani hotel ilikuwa na bima....sasa sijui kama hizi ni tetesi za kweli au vipi na kama jamaa alipiga hela ya bima au la...lakini word went around about that...Sasa leo naskia kamuuzia JB Paradise ya Mkapa towers!!!....something is very fishy here.........only time will tell....keep on probing Mwanakijiji.....
Namfahamu kama Mmiliki wa CHICKEN HUT (MLIMANI CITY) kuanzia mwaka 2008, katika mazungumzo yetu alikuwa akijifagilia kama yeye ana pesa na yupo karibu sana na familia ya kwanza Tanzania, akidai anajenga Beach Hotel Bagamoyo, Hotel/Restaurant nyingine pale Africana.
SIKUAMINI SANA KWANI NILIONA NI SOUND TU! Baada ya kufunguliwa kwa QUALITY CENTRE! YAMETIMIA! Ana Restaurant/Ukumbi wa Disco (Savannah) Maduka makubwa matatu achilia mbali JB BELMONT iliyopo BW. Mkapa Towers.
Ninachompendea yupo down to earth!
KIU ni chuo cha Mzee (M7) ila hao wengine wanatumiwa kama kuficha mambo
Pesa za Gaddafi nyingi sana UG.Tatizo sisi Watanzania ni masikini sana halafu wengi wetu ni watumwa wa kiakili wamezoea lazima tajiri awe Mzungu au Muarabu.
Bob Justus Baguma ni tajiri mkumbwa sio Tanzania tu mpaka UK kwao Uganda pia ana hotel nyingi tu za kitalii, Bob Justus Baguma ni Mkurugenzi wa JB Beltont.
Uingereza kuna kampuni zake pia kuna ARMSTONE LIMITED, EORO-AFRO CONSUMERS LIMITED.
JB saizi ni mwenyekiti wa jumuiya ya waganda wanaoishi Tanzania, JB ni kichwa kaenda shule ana Masters Degree in business kasoma UK.
Huyu jamaa ni mtu makini sana.
nderingosha, Paradise Bagamoyo hotel kweli iluungua moto na mmiliki alisema (mbele ya vyombo vya habari) kuwa wataijenga kama ilivyo ndani ya mwaka mmoja. Na kilio chake kikubwa ilikuwa ni kuokoa ajira watanzania. But we know, baada ya moto waliondoka Bagamoyo na kuanza kuwekeza ndani ya jiji kwa kuanzia wakachukua City Garden, then hapo Benjamin Mkapa na pia wana investment Nyerere Rd.
We also know wakati wa moto biashara ya Paradise Hotel Bagamoyo was going down maana seminar nyingi za serikali zilikuwa zinapungua. Watu walishachoka kwenye kwenye same hotel, same smile, same mapokezi ya vingoma! Na service ilikuwa inadorora kila kukicha, including chakula ambacho watu wengi walikuwa wanalalamika.
Kwa sasa wasomali hawa wamejikita kwenye biashara katikati ya jiji na huku ndiko walikokutana na JB.
Maoni yangu. Sina tatizo kabisa uwekezaji wa hawa wasomali au wa bwana JB au mtu mwingine yoyote toka nje ya mipaka ya nchi hii. Na sina shida na wadada wanapata 'pleasure' toka kwa JB, maana kila mtu ana uhuru wa kupata kitu roho inataka. Tatizo langu na kichefuchefu changu ni screening or lack of it kuhusu baadhi ya wawekezaji. Ukiachilia Cuba, Tanzania ina human intelligence nzuri sana, lakini kwa mshangao watu, mbu, vifaru, vumbi vyote vinaingia nchini na bado wakubwa wanasimama mbele za watu na kusema nchi iko salama! Hakuna linalofanyika watu hawajui na ndio sababy hapa watu wanahoji JB, lakini mambo yanawekwa kapuni. Siku yakimwagika wote tutapata hasara.
Mzee Mwanakijiji.
Mbona Wazungu matajiri wa Tanzania utaki kufahamu habari zao wewe na weusi tu.
Mbona hujauliza yule Mzungu mmiliki wa Hoteli ya Sleep Way, ni nani na anafanya nini Tanzania.
Kwa taarifa wasomali wa paradise walikuwa nayo sambamba na City Garden ambayo nayo walishaibadilisha jina. Kama kweli hakuna fishy business ni kwa nini wanabadilisha majina ya vitega uchumi vyao ilihali bado wanavimiliki? Na je ile hotel nyingine TANSOMA iliyopo hapa mataa ya kamata ni ya nani? Tena walilifuta jina hili baada ya kuonekana ni controversial hasa baada ya kuhusisha hela za maharamia na mushrooming tourist investments za wasomali. Tanzania imekuwa ikilaumiwa kuwa wanahifadhi vitega uchumi vya wasomali maharamia!!! Na ikumbukwe kuwa tangu tumewaruhusu wasomalii na biashara zao za vivuli tumakaribisha mfumuko wa hela maana kuna hela nyingi katika mzunguko ambazo ni illigal na hazina mutliplier effect kea uchumi matokeo yake mfumuko wa bei unaelekea 30%!!!! ambayo tumeshausahau tangu maiaka ya 95 onward. Kumekuwa na tabaka la walionacho na wasionacho na kwa kuwa biashar hizi zina nguvu fulani, who cares about majority living in abject poverty.
Be careful! Sio kila utajiri ni safe made...wengine wako kwenye mission tofauti under the guise of being entrepreneurs.
nderingosha umenena.