Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Pesa za Gaddafi nyingi sana UG.
Hayo maneno ya kujiliwadha...Huyu jamaa pesa yake kaipatia Ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa za Gaddafi nyingi sana UG.
Hayo maneno ya kujiliwadha...Huyu jamaa pesa yake kaipatia Ulaya.
Mkuu mbona Baguma na M7 ni tribe moja, wanaweza kweli kukorofishana?
Hiyo ilikuwa ni hoteli ya nani au alinunua kutoka kwa nani?
Paradise Hotel inamilikiwa na msomali Kwa jina Mohamed ingawa yeye ni mrithi, hawa ndio wanamiliki wa Paradise Hotel ya Bagamoyo ile iliyoungua moto mwaka 2009 na ndio wanamiliki mgahawa wa city garden pale ppf tower pembeni ya imalaseko na atc, na pia mgahawa wa city garden wa pale gerezani, na hotel za arusha zijulikanazo kama east africa, kwa faida ya wengine baba wa Mohamed ni moja ya mawaziri kipindi cha UTAWALA WA SIAD BALEH
Mkuu wangu Kimbunga.
Bob Justus Baguma, ni kichwa sana mie huwa nina mfananisha na (Wapopo).
Kainunua Paradise Hotel Bagamoyo, kutoka kwa kile kichwa ch kisomali kilikuwa waziri kule Somalia wakati wa utawala Said Bare.
Mwaka 2011 nilikuwa Kampala Uganda, huyo jamaa Bob JB, alikuwa anafunguwa mgahawa wa MacDonalds.
Mwaka 1999 ana kampuni tatu Uk.
Jamaa ni Don kweli kweli sio mchezo.
Unajuwa ni kitu gani kilichosababisha mpaka huyu JB akakosana na M7?
Mkuu juzi nilikuwa Gongo la Mboto, nikawa na shahuku ya kutembelea KIU yaani kitu nilicho kiona pale kilinistaajabisha kweli kweli - Basajja Balaba si mchezo! Sijuhi kwa sasa hivi hapa Tanzania kama kuna Chuo chochote Kikuu ambacho kimejengwa kwa umahili mkubwa kiasi hicho, chuo chenyewe kime-cover area kubwa sana-kinaweza kuwa cha pili kwa ukubwa wa eneo kikifatia UDSM. Vitivyo vimepangwa kwa ustadi mkubwa, barabara, bustani nk - jamaa huyu mkali kweli kweli na akifanikiwa kuwapata walimu makini basi chuo chenyewe kitakuwa moto wa kuotea mbali.
John locke, na hilo pia kiongozi. Issue ya kutofautiana na M7 iko kurasa za mwanzo - ukipata wasaa soma thread nzima. Pia kumbuka hoja hapa tunataka kumjua JB ni nani, au wewe ulielewa nini hasa kuhusu hii thread?watu tunajadili hili na ww unakurupuka na lako..alah!
Mkuu akuna anaye underrate umahili wa Omukama Baguma katika biashara zake na PR yake, lakini mbona nimesoma humu akisema alijaribu kupata franchise za ku-run MacDonalds chains in Uganda akashindwa sijuhi kutokana na nini! Halafu kilicho nitisha kidogo ni hiki cha kusema Baguma ni "DON!!" - hivi ujuhi mfanya biashara akihitwa DON anaweza kuwa associated na under world business ambazo mtu kama Baguma hawezi kujihingiza/kujishughulisha na biashara za namna hiyo, ameishi Uingereza na anjua vizuri wazungu walivyo mahili kwa ku-track dowm watu wa aina hiyo, rain or shine watakutia mbaroni tu at the end of the day and you will end up in a slammer na kufilisiwa kila kitu - hilo lilikuwa nia ANGALIZO LANGU tu, wakati mwingine tuwe makini maneno tunayo tumia. "Banyankole ichwena tukole tuta! okulima, nakwo nindamamu KAKE"
Kwa mujibu wa mganda mmoja ni kwamba hizi investment za JB zipo nyuma ya wakubwa flani na kwamba hata jina si halisi ila huyu JB anatumika kuuficha ukweli, kwa mujibu wa huyu mganda ni kwamba herufi J ni ya jina la mke wa mkulu mmoja uganda na kwamba anawatumia ndugu hao ili kujificha.
Hizi ni rumours na si lazima ziwe na ukweli
Mkuu Bukyanagandi.
Mie ninavyojua maana ya "DON" ni Mwungwana hata mwalimu wa chuo Kikuu nae anaitwa "DON".
Kuhusu MacDonalds alikosa wateja Kampala.
Hujafika Dodoma wewe UDOM ndo kinashika Chart.
Mkuu heshima yako kwanza, najua vizuri kwamba mwalimu wa chuo kikuu anaweza kuitwa DON au Mtu Mungwana, lakini ukumbuke hii forum inasomwa na watu wengi na wengine awachangii chochote kazi zao ni kuangalia mtililiko wa mada husika - unaweza kuwa umetumia term hiyo kwa nia nzuri tu, lakini ukakuta unamtia mwenzio kwenye limelight ambayo anaweza kujukuta anafuatwa fuatwa bila sababu, kumbuka dunia siyo Tanzania TU-sijuhi kama nime eleweka. Msalimie emanzi BAGUMA.