Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

View attachment 2708308
View attachment 2708309

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
Mwambieni huyo Traore kwamba Tatizo letu kuu Africa ni SELFISHNESS tu !!!
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
Burkinafaso INA natural resources zipi?
 
Mkuu ni ngumu aisee...
Maendeleo ya kweli kabisa lazima yawe na gharama zake !! Watu wamezoweakupiga dili dili kupata pesa za haraka haraka ni lazima utumie mkono wa chuma ili uwadhibiti !!
Vinginevyo ukicheka nao wao ndio watakudhibiti !! 😅🙏 ,
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
Thomas Sankara alisema. “ Revolutionaries as individuals can be murdered but you can not kill ideas “ 🙏🙏
 
Kujinasua kwenye hili haina budi kuwekeza kwenye ELIMU ELIMU ELIMU.........
Na ndio maana Ili kujinasua wasomi wetu wengi huamua kua ma puppets na ukisema ukwel mchungu unatafutiwa zengwe mpak utakata tamaa
mkuu wanasiasa wa afrika wapelekee bajeti ya kuua upinzan wataipitisha wapelekee bajeti ya kufanya utafiti wataigomea, wasomi kama akina prof Assad wakisema ukweli wanaonekana wabaya
 
Umaskini au utajiri ni Perception tu

Hamna kitu kama utajiri na umaskini

Jamii zinatofautiana namna zinavyotafsiri umaskini au utajiri
Naam lakini kukosa three basic needs ni extreme poverty; huwezi kukosa mavazi, malazi na chakula alafu wewe ukasema ni tajiri hata kama umezungukwa na almasi na marumaru...
 
matumizi ya akili (maarifa ujuzi) yakiwa duni + ubinafsi kwenye nchi yoyote hata mkiwa na utajiri wa rasilimali gani mtakuwa maskini tu. Kwa hiyo Africa ni maskini kwa kuwa matumizi ya akili ni duni mnoooo na ubinafsi ni mkubwa mnoooo. Wewe ukiwa kiongozi leo lazima uibe na uajiri ndugu marafiki zako tenda uwape wa karibu yako yaan kila kizuri ni wa kwenye circle yako! automatically nchi haiwezi pata maendeleo maana hamna ushindani. Afrika ukiwa na akili lazima utumikie maono ya wanasiasa automatically akili hii haiwezi zalisha chochote cha maana ni hasara tu. Nchi kama japani hawana natural resources zozote za maana but wana akili zinazotumika ipasavyo leo ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani na infact imeporomoka juzjuz tu ilikuwa ya pili. Nchi kama malaysia, south korea ni akili tu zimetumika ipasavyo leo hii wapo mbali.
Kama tatizo ni akili, basi tutakuwa maskini milele! Maana hakuna sehemu tunaweza pata akili! Kama miaka 60 hatuja pata akili, basi tena!
 
Hivi tulivyonavyo ndio utajiri. Kama sio wasije kuvichukua kama watabakia kuwa matajiri. Shida kuna jamaa wanapenda lifestyle yao.
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309
Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.
Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'
All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.
Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.
Nini nini maoni yako.
 
View attachment 2708308
View attachment 2708309

Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.

Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.

Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'

All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.

Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.

Nini nini maoni yako.
Tatizo letu ni dogo sana na moja tu, ujinga.

Hilo ndilo linayakaribisha matatizo mengine yote.
 
Huyu ndugu yetu UJINGA tumepambana nae Kwa takriban nusu Karne Sasa na Bado anatusumbua....
 
Back
Top Bottom