Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama tungekuwa na viongozi wazalendo na siyo haya mafisadi tungekuwa mbali snMatajiri wanatumia mbinu zote, kuifanya Africa isifike popote, iendelee kuonekana masikini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tungekuwa na viongozi wazalendo na siyo haya mafisadi tungekuwa mbali snMatajiri wanatumia mbinu zote, kuifanya Africa isifike popote, iendelee kuonekana masikini...
Umeona eee,Umekaririshwa!
Na hawapendi viongozi wanao isimamia Africa Kwa manufaa ya waafrika lazima UTAUWAWAKama tungekuwa na viongozi wazalendo na siyo haya mafisadi tungekuwa mbali sn
Na wamefanikiwa sana kwenye Kila eneo...Matajiri wanatumia mbinu zote, kuifanya Africa isifike popote, iendelee kuonekana masikini...
Lakini viongozi wangekuwa wazalendo na Africa ikaungana mbona wameshindwa Asia?Na hawapendi viongozi wanao isimamia Africa Kwa manufaa ya waafrika lazima UTAUWAWA
Na Bado alikufa Kifo Cha kudhalilishwa na mamluki wa Taifa lake mpak Leo Libya sio Libya Ile ya Hayati GaddafiGadaffi ndiyo alikuwa mwamba kuwawezesha walibya waishi maisha bora.
Maadui,Lakini viongozi wangekuwa wazalendo na Africa ikaungana mbona wameshindwa Asia?
NI uongozi mbovu wala hakuna nini, una akili Kweli unamnunulia V8 DED/DC/DAS anaweza kumsaidia hata Mwalimu kuhama? kwanini usimpe pickup double cabin ambayo itasaidia mambo ya msingi badala ya kubeba mtu mmoja pekee?Maadui,
Hawa wa Africa ambao ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI.......................
Ndio maadui wakubwa wa Africa
Haaahaaa☺️😊Ccm watakwambia tumeshindwa miaka 60 ila tuwape Dp world waliotokea jangani wamalize tutawaliwe
Mkuu unajua basic maana ya neno basic ? Achana na mengine hakuna Binadamu anaweza kuishi bila chakula; Na hakuna binadamu anadamu anaweza kuishi bila kujikinga na extremes za weather be it amevaa magome ya miti au ngozi na anahitaji shelter ya kujikinga kujiziua na hatari zozote zile (iwe ghorofa, pango au nyumba ya nyasi)Is this the afrocentric or eurocentric view toward poverty?
Umaskini ni mtazamo wa jamii fulan
Your basic needs isn't necessary to be someones basic needs. Note that!!
Fikra kama hizi ndio fikra za Ubinafsi ambazo ndio zinazolifanya bara la Africa kuwa nyuma kimaendeleo kuliko mabara yote Duniani pengine mpaka na Akhera !!Vipi pamoja na utajiri huo wewe binafsi umefanikiwa kuutumia kuufanya ukoo wenu kuwa tajiri?!
Kwa Ubinafsi wao ??!!watu weusi wamelaanika
Tena ni umasikini mkubwa sana !!Kushindwa kumeet basic needs ni umasikini
Kabisa !Umeona eee,
Labda angesema Beauty NDIO ni perception ya mtu na mtu hapo ni sawa ila sio umaskini na utajiri....
He won't survive that long...Ngoja tuone
Bukinafaso ikatavyokuwa
Chini ya huyu mwamba
Muda utaongea
Ova
Utajiri upo kichwani.View attachment 2708308
View attachment 2708309
Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso.
Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso anawashutumu viongozi wa Afrika kwa kua 'Omba Omba'
All in all, Viongozi wengi wenye maono ya ki Africanism Huwa hawana maisha marefu.
Endeleeni pumzika Kwa amani Hayati John Pombe Magufuli na Thomas Sankara maana mitazamo yenu kuhusu Bara la afrika kujitosheleza Kwa chakula, mikataba ya kilaghai na kuacha kua omba omba misaada nje mlitufundisha Kwa vitendo.
Nini nini maoni yako.