Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

Mwambieni huyo Traore kwamba Tatizo letu kuu Africa ni SELFISHNESS tu !!!
 
Burkinafaso INA natural resources zipi?
 
Mkuu ni ngumu aisee...
Maendeleo ya kweli kabisa lazima yawe na gharama zake !! Watu wamezoweakupiga dili dili kupata pesa za haraka haraka ni lazima utumie mkono wa chuma ili uwadhibiti !!
Vinginevyo ukicheka nao wao ndio watakudhibiti !! 😅🙏 ,
 
Thomas Sankara alisema. “ Revolutionaries as individuals can be murdered but you can not kill ideas “ 🙏🙏
 

Kujinasua kwenye hili haina budi kuwekeza kwenye ELIMU ELIMU ELIMU.........
Na ndio maana Ili kujinasua wasomi wetu wengi huamua kua ma puppets na ukisema ukwel mchungu unatafutiwa zengwe mpak utakata tamaa
mkuu wanasiasa wa afrika wapelekee bajeti ya kuua upinzan wataipitisha wapelekee bajeti ya kufanya utafiti wataigomea, wasomi kama akina prof Assad wakisema ukweli wanaonekana wabaya
 
Umaskini au utajiri ni Perception tu

Hamna kitu kama utajiri na umaskini

Jamii zinatofautiana namna zinavyotafsiri umaskini au utajiri
Naam lakini kukosa three basic needs ni extreme poverty; huwezi kukosa mavazi, malazi na chakula alafu wewe ukasema ni tajiri hata kama umezungukwa na almasi na marumaru...
 
Kama tatizo ni akili, basi tutakuwa maskini milele! Maana hakuna sehemu tunaweza pata akili! Kama miaka 60 hatuja pata akili, basi tena!
 
Hivi tulivyonavyo ndio utajiri. Kama sio wasije kuvichukua kama watabakia kuwa matajiri. Shida kuna jamaa wanapenda lifestyle yao.
 
 
Tatizo letu ni dogo sana na moja tu, ujinga.

Hilo ndilo linayakaribisha matatizo mengine yote.
 
Tatizo letu ni dogo sana na moja tu, ujinga.

Hilo ndilo linayakaribisha matatizo mengine yote.
Huyu ndugu yetu UJINGA tumepambana nae Kwa takriban nusu Karne Sasa na Bado anatusumbua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…