Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulia mkuuNitake nisitake,utake usitake,kiumbe hai chochote lazima kife.Anyway kwa swali lako huoni kabisa umuhimu wa vituo vya kutolea huduma za afya,yaani ungekua kiongozi ungeona ni muhimu huduma nyingine ziwepo,ila huduma za afya ungeachana nazo,nikimaanisha usingehangaika nazo kwa kuwasogea wananchi wako?
Wahindi wote ni wezi
Wanashirikiana kuiba na watawalaNa wana mfumo wa paperless ukienda hospital mpk unarudi hakuna kartac yyte unayoona form ya doctor dawa wala vipimo yani unapewa tu file number ww unazunguka na kikartac kwahio wizi wa bima za afya umeongezeka
Nimeshangaa sana mkuu,nimeeleza alikutwa ini na figo vimeharibika,we unadhani angekua anafanya check up,yasingegundulika mapema na yawezekana hadi sasa angekuwepo?Tulia mkuu
Mkuu vipimo ni gharama kubwa sn, siyo kwamba alikuwa hataki kufanya checkup isipokuwa ni urasimu wa wizara ya afya ndiyo tatizoNimeshangaa sana mkuu,nimeeleza alikutwa ini na figo vimeharibika,we unadhani angekua anafanya check up,yasingegundulika mapema na yawezekana hadi sasa angekuwepo?
Aisee wewe yawezekana ukikuta mgonjwa anafanyiwa CPR unaweza ukafanya jitihada za kuzuia watoa huduma,wasiendelee kutoa huduma husika,kisa LAZIMA TUFE.
Muhindi na muarabu anakuwa mtanzania tu anapokuwa fukara ila akipata pesa huyo anageuka kuwa beberu na fisadi wa nchi yetu, na uraia wake unakuwa mguu mmoja ndani na mwingine njeWAHINDI SI WATANZANIA WENZETU, HO NI MABEBERU TU, HAO VIJIBWA NA MAJUHA WA KITANZANIA(VIONGOZI) NDIYO WANAO LEA UPUUZI HUU
We Jamaa ni rahisi sana kuingizwa chaka😁😆Ni wabaguzi sn
Dawa za kizungu ni package ya dawa za vijijini. Mmea wa Artemisia (omushunshu) tumeutumia mara nyingi kijijini kutibu majeraha na majipu.Hivi vijijiji wanaishi vipi? mbona wana afya njema na hakuna hizo Aga khan?
Soma tena ulichoandika mkuu, alafu ukijiridhisha kipo sawa tuanzie hapoHivi vijijiji wanaishi vipi? mbona wana afya njema na hakuna hizo Aga khan?
Pesa yako ndiyo inaamua utibiwe wapi uishi wapi, mwanao asome shule gani, utembee na mwanamke gani. Hospitali ya Agha Khan haimbagui mtu kutibiwa pale. Hiyo bima yako haina sifa ya kukubalika pale lakini ziko bima zingine zinakubalika kwa sababu ya package ya hizo bima. Bima uliyonayo gharama inazolipa ni za chini kuliko viwango vinavyochajiwa na hiyo hospitali.Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo!
Haikuwa shida kwangu, nikaenda hospitali ya Shree Hindu Mandal iliyopo Upanga na nikapata tiba kwa kutumia kadi hiyohiyo.
Mwezi huu wa kumi nilienda kwenye tawi la hospitali ya Aga Khan lililopo uswahilini na nikisema uswahilini ni uswahilini kweli kwani madakitari, manesi na wafanyakazi wengine ni waswahili wenyewe wanakili wahindi wa uzao wa Aga Khan hawakanyagi huku uswazi!
Baada ya kupata tiba kwenye hilo tawi letu la hospitali ya Aga Khan nikamuuliza dakitari kuhusu hospitali mama ya Sea View, naye hakusita kuniambia kuwa kule ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa serikali, nikajua kuwa ukiwapendelea hawa basi jambo lako litakwenda vizuri bila kuhojiwa.
Miaka iliyopita tulikuwa tukitibiwa bila tatizo kwenye hospitali hiyo ya Aga Khan Sea View licha ya tatizo la hawa wazalendo watanzania wenzetu kutokujua kiswahili vizuri, lakini walipoona tunawabana wakatufungulia matawi uswazi na madakitari wetu wakiswazi tumaliziane huku huku.