Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

Moyo
Roho
Hisia
Akili
Ubongo

Yote tutayasema ila kama matendo na hisia hazitadhibitiwa na akili itakuwa kazi bure.
AKILI ndiyo ina chakata na kuona uzuri na ubaya wa jamba na kuchukua hatua.

Ila kunakaakili flan ambacho kinaitwa HISIA ambacho kinakuwa tofauti na AKILI mama
 
Sasa mkuu ebu turudi kwanza kwenye natural pacemarker (SAN) kazi yake nini hasa
Hili swali nimesha kujibu kwenye previous comment yangu,just scroll up usome tena,
na je maisha yanawezekana bila yenyewe?
Maisha hayawezekani bila natural pacemaker ''Sinoatria Node SA'' unless uwekewe mechanical device to replace it,
Ndio maana kuna watu wanaishi kwa kuwekewa Artificial Pacemaker,ingekua Binadamu anaweza kuishi bila Natural Pacemaker,wasingekua wanawekewa hiyo Artificial Pacemaker,

SA ndio inagenerate electrical impulses kuuambia Moyo upige ''Heart to beat'' kama Natural Pacemaker ikifeli basi Moyo utasimama kupiga,itakua hakuna flow ya damu mwilini,ni lazima upoteze maisha in a minutes.
 
“Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.

Minyororo hiyo ni hisia.”
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?”

Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza, lakini bado akarudi kulifanya.
Anaweza kujua mtu fulani hamfai, lakini bado akampenda.
Anaweza kujua matumizi fulani yanamfilisi, lakini bado akaendelea kutumia.
Anaweza kujua hasira itamletea matatizo, lakini bado akasema maneno ambayo baadaye atayajutia.

Kwa nini?
Kwa sababu katika maamuzi ya mwanadamu, hisia na fikra za kimantiki hufanya kazi kwa kushirikiana; maeneo kama amygdala yanahusika katika thamani na hisia, huku prefrontal cortex ikihusika sana katika kupanga na kutathmini hatua zinazowezekana.

Kama akili inajua jambo ni baya lakini moyo bado unalitaka, nani anapaswa kushinda?
👉 Moyo unaosema: “Nataka.”
au
👉 Akili inayosema: “Usifanye, utajuta.”
Na je, kujizuia kufanya jambo unalolitamani ni udhaifu wa moyo—au ni nguvu ya akili?

Huenda ushindi mkubwa wa mwanadamu si kupata kila kitu anachokitamani.
Huenda ushindi mkubwa ni kuwa na uwezo wa kusema “HAPANA” kwa kitu ambacho moyo wako unakitamani sana, kwa sababu akili yako imeona madhara yake.

Sasa wewe unaonaje: JE, AKILI INAWEZA KUUUDHIBITI MOYO, AU MWISHO WA SIKU HISIA NDIZO HUWA NA NENO LA MWISHO?
💯 Percent inaweza ila shida yeke Sasa utaonekana kana kwamba hauko social,sijui romantic and such upuuzi.

Jamii inataka upuuzi (hisia) kuliko akili(logic)
 
Hili swali nimesha kujibu kwenye previous comment yangu,just scroll up usome tena,

Maisha hayawezekani bila natural pacemaker ''Sinoatria Node SA'' unless uwekewe mechanical device to replace it,
Ndio maana kuna watu wanaishi kwa kuwekewa Artificial Pacemaker,ingekua Binadamu anaweza kuishi bila Natural Pacemaker,wasingekua wanawekewa hiyo Artificial Pacemaker,

SA ndio inagenerate electrical impulses kuuambia Moyo upige ''Heart to beat'' kama Natural Pacemaker ikifeli basi Moyo utasimama kupiga,itakua hakuna flow ya damu mwilini,ni lazima upoteze maisha in
Nilikuuliza nini kina maitain mapigo ya moyo ukajibu homeostasis, basi husanisha himeostasis na SAN
 
Moyo
Roho
Hisia
Akili
Ubongo

Yote tutayasema ila kama matendo na hisia hazitadhibitiwa na akili itakuwa kazi bure.
AKILI ndiyo ina chakata na kuona uzuri na ubaya wa jamba na kuchukua hatua.

Ila kunakaakili flan ambacho kinaitwa HISIA ambacho kinakuwa tofauti na AKILI mama
Nafikiri kwenye huu uzi kuna tatizo la lugha,
Hatuwezi kuelewana mpaka tusahihishe hili kwanza,

Ukisema ROHO maana yake hiyo roho sio Organ ya mwili wala haipo mwilini,kwa tafsiri ninayoijua mimi,roho ni ile hali ya kua hai,ndio maana watu husema ''Amekata roho'' yani amepoteza uhai,ile hali ya kua Alive,

Kingine naona mnachanganya kati ya AKILI na UBONGO hicho ni kitu kimoja,bila ubongo huwezi kua na hiyo Akili,so,kwenye neno Akili,weka ubongo,hilo neno akili haliwezi kutumika kwenye hii mada,pia Hisia ni Feeling sio Organ ndani ya mwili,hivyo vyote hufanya kazi kwa muongozo wa brain,
The Brain processes emotion and Psychological feeling.
 
SA ndio inagenerate electrical impulses
Kwa hiyo electrical impulses zinazomaintain heart beats hazitoki kwenye ubongo? kwa hiyo kinachomaintain mapigo ya moyo ni SAN na sio homeostasis maana huwezi kutaja homeostasis ukautenga ubongo
 
Dah! mkuu uwezo wangu wa kukuelewesha umeishia hapo.
 
Nafikiri kwenye huu uzi kuna tatizo la lugha,
Hatuwezi kuelewana mpaka tusahihishe hili kwanza,

Ukisema ROHO maana yake hiyo roho sio Organ ya mwili wala haipo mwilini,kwa tafsiri ninayoijua mimi,roho ni ile hali ya kua hai,ndio maana watu husema ''Amekata roho'' yani amepoteza uhai,ile hali ya kua Alive,

Kingine naona mnachanganya kati ya AKILI na UBONGO hicho ni kitu kimoja,bila ubongo huwezi kua na hiyo Akili,so,kwenye neno Akili,weka ubongo,hilo neno akili haliwezi kutumika kwenye hii mada,pia Hisia ni Feeling sio Organ ndani ya mwili,hivyo vyote hufanya kazi kwa muongozo wa brain,
The Brain processes emotion and Psychological feeling.
Kama matendo na hisia hazitadhibitiwa na akili bado tabuni tutaenda
 
Nafikiri kwenye huu uzi kuna tatizo la lugha,
Hatuwezi kuelewana mpaka tusahihishe hili kwanza,

Ukisema ROHO maana yake hiyo roho sio Organ ya mwili wala haipo mwilini,kwa tafsiri ninayoijua mimi,roho ni ile hali ya kua hai,ndio maana watu husema ''Amekata roho'' yani amepoteza uhai,ile hali ya kua Alive,

Kingine naona mnachanganya kati ya AKILI na UBONGO hicho ni kitu kimoja,bila ubongo huwezi kua na hiyo Akili,so,kwenye neno Akili,weka ubongo,hilo neno akili haliwezi kutumika kwenye hii mada,pia Hisia ni Feeling sio Organ ndani ya mwili,hivyo vyote hufanya kazi kwa muongozo wa brain,
The Brain processes emotion and Psychological feeling.
Moyo na ubongo vyote vinategemeana lakini kimoja kinaweza kupingana na kingine

Kwa mfano, hisia zako zinaweza kukusukuma ufanye jambo Fulani lakini AKILI ikakukataza
 
Dah! mkuu uwezo wangu wa kukuelewesha umeishia hapo.
Ubongo hauwezi kuziamuru cardiac muscle zisimame au ziendelee kusinyaa na kutanuka kitu ambacho ubongo hufanya ni kuziongezea action au kuzipunguzia ndio kile ulichosema ku adjust, cardiac muscles zina source yake ya elctrical signal ambayo ndio SAN, Ipo chini kulia mwa moyo, kwa hiyo ukisema homeostasis ndio hiyo ajustment itayofanywa na ubongo ili kuendana na hali ya mwili kwa wakati huo, na sio homestasis ina maintain mapigo ya moyo. Together mkuu usikasirike lakini, nahitaji kujifunza zaidi asnteh.🫲🫲🫲
 
Au basi mimi ndio nikueleweshe au bado umekaza kuwa unajua kuzidi mimi lazima unieleweshe tu?
Naona unataka kutoka nje ya mada sasa na kuanza kutumia lugha za hovyo dhidi yangu,

Kuna sehemu yeyote ile nimesema kua Mimi ninajua zaidi yako?

Wapi nimesema kua Lazima nikuelewesha? huo Ulazima wa mimi kutaka nikueleweshe wewe umeupima kwa Criteria gani?
 
Hasira sasa mkuu hizo, usi panic swali la kawaida sana hilo nilokuuliza ungekuwa muungwana ungetulia na ukawa mkweli kuwa unaejadili nae anaona ona na siyo mtu kipofu saana, basi baada ya hapo ukawa nawewe unachukua shule kimtindo na sio kujitunisha unamwelesha tu.
 
Mbona mnatoka nje ya mada !
 
Mbona mnatoka nje ya mada !
Apana kiongozi mwenzangu tatizo much know sana! yaani yupo kwa ajiri ya kuelewesha na sio kueleweshwa, na hii ndio shida ya kuwaaminisha hadi shemeji zetu kuwa wewe ndio unajua jf nzima sasa ikitokea unabanwa kisawasawa lazima ufiche ball kwapani kulinda heshima ya shemeji. mimi nataka kujifunza lakini siwezi kukubali kamba pale napoona mwenyewe. Na kama vipi aje dm tugegedane hadi kieleweke au tukinukishe kama anaona aibu huku.
 
Back
Top Bottom