win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
nimehuzunika na kucheka kwa pamoja,, mi nahisi kilicho muuma ni mda na mali alizo wekeza ila kuhusu kumng'ang'ania mtu nahisi si kweli,,,Miaka ya nyuma kidogo nipo chuo jamaa alitaka kujirusha ghorofani kisa mapezi yani alidakwa chapu bila kumzuia alikua anajitupa,jamaa alipenda halafu alikua mbishi kuamini alimuhudumia sana yule demu hadi ada wakati wote walikua wanachuo,akaambiwa kuwa mpenzi wake ana mwanaume mwingine,watu wabaya wakamletea ushahidi 😁😁 ah acha banah ,ila sahivi anajiona alikua mjinga
kwenye maisha mi siamini kwenye mambo ya kubembelezana et oooh stay with me mara blaah blaah, kama unamtu au kama tumeshindwana huwa kuachilia siwezi kukaa na janga la roho😆😆