Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

Ilikuaje mwanamke apewe mali zote na sio wagawane kama ilivyo kwa case ya Hakimi.
Mke wake ndo alikua msimamizi wa mahesabu yake yote. Tuseme alikua kama mhasibu wake. Kwaio jamaa alikua anaponda raha tu maana babymama ndo anajua mapato na matumizi. Until dakika ya mwisho kwenye kutalikiana ndo akashtuka hana chochote kile.
Aliota kupata happily ever after ndo akakutana na vitasa ever after.
 
Ilikuaje mwanamke apewe mali zote na sio wagawane kama ilivyo kwa case ya Hakimi.
Mwanamke alikuwa anaweka mali kwa majina mengine,na Eboue alikuwa anajua kusign tu kila document kipindi cha ndoa.Na alikuwa akipata mshahara anampa wote mkewe.Na mkewe ndo anafanya investiment. Imagine labda alipewa document inahusu kuhamisha mali kwa mtu mwingine,yeye anasign tu bila kujua kilichopo kwenye document.
 
Star wa zamani wa Arsenal, Bwana Emmanuel Eboue ilibaki kidogo tu ajinyonge baada ya mahakama kumpokonya mali na pesa zake zote na kumpa mkewe baada ya kuachana.

Mchezaji huyo wa zamani wa Aresenal alikuwa analipwa mabilioni kwa mwezi, ila baada ya mkewe wa kizungu kupata mchepuko ambaye ni mzungu mwenzake, akaona afanye visa na kudai talaka, ambapo Eboue aliamrishwa pesa zake na mali zake zote akabidhi kwa mkewe na akafukuzwa kwenye nyumba yake na kuwa homeless asiye na pa kulala, na hata watoto wake watatu hakuruhusiwa hata kuwaona kwa macho tu, maana walishatafutiwa baba mpya mzungu na ndio walikuwa wanamwita baba.

Ilifika wakati hata pesa ya chai na chapati asubuhi akawa anakosa, ilibaki kidogo tu ajiue.

Je, alichofanya huyo mke ni ubinadamu?


C.c Lovie Lady ...

mtu anapokonywa hadi watoto.. mwanamke katili sana
C.c lov
 
Acha kupotosha wewe kijana eboue aliziacha makusudi mali anazomiliki uingereza kwa manufaa ya watoto wake kumbuka kipindi hiki walisha file talaka
 
Ndio alicheza trick alikuwa kwenye mgogoro na mke wake kwa kipindi mrefu

Kumbuka alizaa watoto na mzungu,na mali alizokuwa anazifahamu mkewe ni zile za ndani ya uingereza tu nyumba gari na fedha kiasi

Eboue aliwekeza pesa nyingi kwao
Duuuh, kwamba aliviacha kwa makusudi?! Hebu fanya marejeo ya habari zilizopo
 
Back
Top Bottom