Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

Bora alinyoshwa wanashobokea sana mizungu kenge hawa.
 
Trick nimekwambia wakati huo alikuwa anaishi na kucheza uturuki km sikosei

Iyo trick ulisaidia ku win umma

Mali aliziacha makusudi ili mahakama imrithishe mke wake ambapo direct ni kutunza watoto wake
Sasa iweje akose hata pa kuishi kama alikuwa na pesa kwao?
 
Trick nimekwambia wakati huo alikuwa anaishi na kucheza uturuki km sikosei

Iyo trick ulisaidia ku win umma

Mali aliziacha makusudi ili mahakama imrithishe mke wake ambapo direct ni kutunza watoto wake
Sasa huo utajiri huko kwao ni upi.., weka source basi ya hizi taarifa, otherwise mtu yeyote anaweza kaja hapa akasema chochote tu
 
Alichofanyiwa ni unyama sana Eboue, ila ndio hivyo sheria ilikuwa upande wa mkewe. Na hili tatizo wanalo waafrika/blacks wengi, wanapenda sana kuoa whites wakifika kucheza ulaya, matokeo yake ndio kama hivyo.

Huyo mmoroko alitumia akili, wachezaji wengi wanafilisika kizembe sana.
inauma Sana wazungu masikini Hawa wanavisa sana
 
Kwa Millard kuna hiyo habari ya Emannuel
Ni kwamba alipoteza kama nusu ya mali zake
Mali zote za Uingereza zilipotea lakini ana uwekezaji sehemu mbalimbali nchi tofauti
Kama tatu hivi maisha yanaendelea

hajapoteza kwa kiasi hicho kinachoongewa hapa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Weka link sasa tuone
 
Ilikuaje mwanamke apewe mali zote na sio wagawane kama ilivyo kwa case ya Hakimi.
Nakumbuka ishu ya jamaa ni alikua amemuandika mkewe kama mmiliki wa mali zote. Halafu mwanamke akadai anahitaji pesa zote ili kumaintain lifestyle waliyozoeshwa

Yaani mfano Hakimi badala ya kumuandika mama yake basi amuandike mkewe.
 
UKIWA KWENYE NDOA NA UNAONA KUNA KUTOELEWANA,MFARAKANO!
NA WEWE UNAJIJUA UNA MALI
ANZA KUKAA MGUU SAWA
TUMIA AKILI,UTULIVU WEWE KUJIWEKA SAWA.....

ova
 
Back
Top Bottom