Kwamba Hakimi kawekewa sanctions na wanawake hakuna mahali atapewa mbususu?😂Achraf kwa sasa ni adui wa wanawake wote duniani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Hakimi kawekewa sanctions na wanawake hakuna mahali atapewa mbususu?😂Achraf kwa sasa ni adui wa wanawake wote duniani....
Ni tajiri mtu Hadi alifikia hatua ya kutaka kujitundika!!!
Nakumbuka ishu ya jamaa ni alikua amemuandika mkewe kama mmiliki wa mali zote. Halafu mwanamke akadai anahitaji pesa zote ili kumaintain lifestyle waliyozoeshwa
Yaani mfano Hakimi badala ya kumuandika mama yake basi amuandike mkewe.
Yamekukuta?PoleIla wanawake zetu mnavyotufanyia sio vizuri jamani yaani siruhusiwi hata kuwaona watoto wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tukitoka hapo tunasema wazungu wana roho nzuri, hakuwaza mchuzi ataishi vipiUle ni unyama wa hali ya juu siyo ubinadamu kabisa.
Bado Salim Kikeke nae yatamkutaNikiangalia pisi zote zilizoko Afrika sioni mtu unawaza vp kuoa mzungu. Ila ilikuwaje mwamba akanyang'anywa mali zote badala ya kugawana? Na hivi inakuwaje wewe uombe kuvunja mahusiano halafu upate mali?
Noma sana.Tukitoka hapo tunasema wazungu wana roho nzuri, hakuwaza mchuzi ataishi vipi
Kwa hiyo hapa tunamlaumu mke wa eboue bila sababu za Msingi,au Eboue alikuwa na mali nyingine kaficha akazuga kujiua na kulala majalalani?Tatizo Mali zote hazikuwa na jina la Eboue. Pia Eboue alikuwa hafiki mahakamani hivyo wakaingiza exparte judgement kwa mke wake.
Ndio amemuoa nimeona google picha yao.Huyu jamaa ni mpumbavu. Alikuwa na demu Ivory coast akamwacha akakimbilia demu aliyekutana naye akiwa kwenye mafanikio. Jamaa anastahili kuendelea kutaabika
shule Wala sio unyama kulikuwa na umuhimu Gani aoe wazungu(hao ilikuwa nikuwagonga tu) akaacha wajinga wezake wa darasa Moja ivorykostAlichofanyiwa ni unyama sana Eboue, ila ndio hivyo sheria ilikuwa upande wa mkewe. Na hili tatizo wanalo waafrika/blacks wengi, wanapenda sana kuoa whites wakifika kucheza ulaya, matokeo yake ndio kama hivyo.
Huyo mmoroko alitumia akili, wachezaji wengi wanafilisika kizembe sana.
Ila waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.Nilichojifunza hapa. Ukiioa mzungu njoo na Africa oa kinyemela. Vinginevyo utajuta.
Wanawake wa kizungu wanamashart kibao.
Kweli. Wanaooa wazungusij7i wanachokiguata kiukweli.Sijui ule weupe au pua ndefu au hizo nywele katani. Unakuta vimekondeana shepu za namba 1.Ila waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.
Kweli. Wanaooa wazungu sijui wanachokitafuta kiukweli.Sijui ule weupe au pua ndefu au hizo nywele katani. Unakuta vimekondeana shepu za namba 1.View attachment 3091004chekiIla waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.
ARV ZIPO ANYWEKipi sasa maana ni mgonjwa kwa sasa.
Alikuwa hjui kiingereza?Mwanamke alikuwa anaweka mali kwa majina mengine,na Eboue alikuwa anajua kusign tu kila document kipindi cha ndoa.Na alikuwa akipata mshahara anampa wote mkewe.Na mkewe ndo anafanya investiment. Imagine labda alipewa document inahusu kuhamisha mali kwa mtu mwingine,yeye anasign tu bila kujua kilichopo kwenye document.