Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

Huyo Mmorocco mbona alioa Mwarabu mwenzake lakini bado almanusura yamkute?
 
Kule Marekani wengi huktwa na hiyo dhahama ya kunyang'anywa mali na kufukuzwa nyumbani na zaidi kutoisogelea familia na hivyo wanajikuta wanaishia kuwa ma-homeless
 
Nikiangalia pisi zote zilizoko Afrika sioni mtu unawaza vp kuoa mzungu. Ila ilikuwaje mwamba akanyang'anywa mali zote badala ya kugawana? Na hivi inakuwaje wewe uombe kuvunja mahusiano halafu upate mali?
 
Nikiangalia pisi zote zilizoko Afrika sioni mtu unawaza vp kuoa mzungu. Ila ilikuwaje mwamba akanyang'anywa mali zote badala ya kugawana? Na hivi inakuwaje wewe uombe kuvunja mahusiano halafu upate mali?

Tatizo Mali zote hazikuwa na jina la Eboue. Pia Eboue alikuwa hafiki mahakamani hivyo wakaingiza exparte judgement kwa mke wake.
 
Ndio alicheza trick alikuwa kwenye mgogoro na mke wake kwa kipindi mrefu

Kumbuka alizaa watoto na mzungu,na mali alizokuwa anazifahamu mkewe ni zile za ndani ya uingereza tu nyumba gari na fedha kiasi

Eboue aliwekeza pesa nyingi kwao
Sasa iweje akose hata pa kuishi kama alikuwa na pesa kwao?
 
ni funzo hili. Weusi tuna matatizo makubwa sana kiakili - mweusi akitajirika au akisoma akawa master au phd holder anakimbilia kuoa mweupe tofauti na matabaka mengine
 
Mali zikiwa na majina ya watoto,mme hapati kitu.Na mama ndo anaishi na watoto.Hivyo Eboue akakosa nyumba London na mali zote zilizokuwa London.Hazikuwa na majina yao.
Ila wanawake zetu mnavyotufanyia sio vizuri jamani yaani siruhusiwi hata kuwaona watoto wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wanawake sisi sometimes [emoji24] hata kuona watoto u amkatalia baba mwenye watoto!!
 
Ilikuaje mwanamke apewe mali zote na sio wagawane kama ilivyo kwa case ya Hakimi.
Maanamke alikuwa akiwekeza anaandika jina lake hata nyumba ilikuwa jina la mwanamke so sheria ikamtunuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…