Je, alichofanya mke wa Emmanuel Eboue miaka ile ilikuwa ni ubinadamu?

Ndio,eboue aliweka wazi mali alizokuwa nazo ndani ya uingereza tu

Zile alizowekeza kwao na kwingine alificha
Nakumbuka ishu ya jamaa ni alikua amemuandika mkewe kama mmiliki wa mali zote. Halafu mwanamke akadai anahitaji pesa zote ili kumaintain lifestyle waliyozoeshwa

Yaani mfano Hakimi badala ya kumuandika mama yake basi amuandike mkewe.
 
Nikiangalia pisi zote zilizoko Afrika sioni mtu unawaza vp kuoa mzungu. Ila ilikuwaje mwamba akanyang'anywa mali zote badala ya kugawana? Na hivi inakuwaje wewe uombe kuvunja mahusiano halafu upate mali?
Bado Salim Kikeke nae yatamkuta
 
Tatizo Mali zote hazikuwa na jina la Eboue. Pia Eboue alikuwa hafiki mahakamani hivyo wakaingiza exparte judgement kwa mke wake.
Kwa hiyo hapa tunamlaumu mke wa eboue bila sababu za Msingi,au Eboue alikuwa na mali nyingine kaficha akazuga kujiua na kulala majalalani?
 
Huyu jamaa ni mpumbavu. Alikuwa na demu Ivory coast akamwacha akakimbilia demu aliyekutana naye akiwa kwenye mafanikio. Jamaa anastahili kuendelea kutaabika
 
Nilichojifunza hapa. Ukiioa mzungu njoo na Africa oa kinyemela. Vinginevyo utajuta.
Wanawake wa kizungu wanamashart kibao.
 
Reactions: Tsh
shule Wala sio unyama kulikuwa na umuhimu Gani aoe wazungu(hao ilikuwa nikuwagonga tu) akaacha wajinga wezake wa darasa Moja ivorykost
 
Nilichojifunza hapa. Ukiioa mzungu njoo na Africa oa kinyemela. Vinginevyo utajuta.
Wanawake wa kizungu wanamashart kibao.
Ila waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.
 
Ila waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.
Kweli. Wanaooa wazungusij7i wanachokiguata kiukweli.Sijui ule weupe au pua ndefu au hizo nywele katani. Unakuta vimekondeana shepu za namba 1.chekiView attachment 3091019
 
Reactions: Tsh
Ila waafrika tuna ile tabia yetu ya kuwa muafrika naona kama kuoa mzungu ni kujitesa nafsi tu, bora umuonge pesa za kutosha mfanye kwa mkataba maalum kama unataka sana kuishi nae.
Kweli. Wanaooa wazungu sijui wanachokitafuta kiukweli.Sijui ule weupe au pua ndefu au hizo nywele katani. Unakuta vimekondeana shepu za namba 1.View attachment 3091004cheki


View attachment 3091019
Nikilinganisha na huyu.

Au huyu.



Hawa ndio damu za kiafrika tuliopewa na mungu. Uaneni na waafrika wenzenu. Ukoloni bado umo kichwani kuamini eti wanawake weupe wazungu ndio wazuri, sasa inawacost.
Picha zote kwa niamba ya google na instagram
 

Attachments

  • az_recorder_20240907_202855.jpg
    492 KB · Views: 2
Reactions: Tsh
Sheria za ulaya na America zinamlinda sana mwanamke, hili linawaathiri sana hata Wazungu wenyewe.

Africa si muda sana tutafika huko, maana nasisi tumekurupukia sana hii 50/50 na kutaka kuishi kama wanayoishi Wazungu.

Mwanamke ni kumbe anayehitaji usimamizi sio kuachwa free ajiamulie mambo yake.
Hata hao Wazungu hizi haki za wanawake wamezileta juzijuzi tu hapa, lakini huko nyuma ilikuwa wakati wanajitafuta mwanamke aliwekwa nyuma wanaume wakakaa mbele kwenye mapambano.
 
Alikuwa hjui kiingereza?
au huko nako kuna limwata!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…