Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza kufunga goli 2
Swali: Je aliwapa ushindi makolo Jana ni Chama au yule shabiki mganga?