Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

Uumchezo wa kishirikina unaofanywa hadharani TFF Waendelee ku uchekea.
Kuna siku isiyo na jina itatuletea janga kubwa kutokea CAF/FIFA ni swala la muda tu ata ayo mafanikio ya TFF yataondoka na maji na kuiacha TFF dhalili.
TFF mnatakiwa mchukue hatua kali zaidi, maana tunako elekea ni kubaya sana.
Kweli kabisa, Hata kina kibwana shomari pia walitoa taulo la golikipa, nadhan adhabu wanayotoa ni ndogo inahamasisha kuendelea
 
Back
Top Bottom