Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

Mbona una wa aibisha uto wenzako wewe kilaza au kwa kuwa wenye akili ni wawili tu hapo vyurani fc....
Shabiki alienda kufukua kitu kwenye goli la wale sokwe fc na golikipa wao alijua kabisa akawa ana mzuia asifukue hicho kitu ila vip lakini mmesha utoa huo mwiko huko nyuma au mtaenda nao mpaka south waka wasaidie ku utoa?
Daaah makolo mnawaza uchawi tu ...badala ya kusajili
 
Uumchezo wa kishirikina unaofanywa hadharani TFF Waendelee ku uchekea.
Kuna siku isiyo na jina itatuletea janga kubwa kutokea CAF/FIFA ni swala la muda tu ata ayo mafanikio ya TFF yataondoka na maji na kuiacha TFF dhalili.
TFF mnatakiwa mchukue hatua kali zaidi, maana tunako elekea ni kubaya sana.
Kabisa this is too much
 
Alitoa kitu hapo golini na sio kwamba aliweka.
Kilifichwa chini ya kapeti.

Halafu kwa kutuzuga walikuwa wanapiga magoti na kuomba Dua kumbe walikuwa wanafukia na kutoa tunguli kapetini.

Kabla ya kuanza gemu walipiga magoti golini.

Half time walipiga magoti golini.

Wanakuja kuanza mpira kipindi cha pili walipiga magoti golini.

Baada ya kukitoa kitu chini ya kapeti hawakupiga tena magoti.

Kumbe walikuwa wanafukia na kufukua Hirizi.
Wajanja wa Mjini wakastukia hiyo ishu.
😂😂
 
Back
Top Bottom