Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tena itatawala haswa ...watanzania ni mabogus si wa simba wala Yanga...nashukuru Mungu walau mzee wangu alimua kuchukua binti nje ya Tanzania...maana ningekua na akili kama za wajomba zangu watanzania..ningesikitika sanakwa staili hii ccm itatawala Tz milele!