Aiseee bado unawaza ushirikina to this say, soka la bongo haliwez endelea kwa mawazo hayaWakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza kufunga goli 2
Swali: Je aliwapa ushindi makolo Jana ni Chama au yule shabiki mganga????
Pumbavu sana, kwani anayesimamisha gari ni dereva au traffic?Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza kufunga goli 2
Swali: Je aliwapa ushindi makolo Jana ni Chama au yule shabiki mganga????
BrekiPumbavu sana, kwani anayesimamisha gari ni dereva au traffic?
Ni shabiki, maana alipofukia tu hicho kitu, refa na kibendera wote wakakubaliana kuwa hilo ni goli, wakaweka katiJe aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini?
Mbona una wa aibisha uto wenzako wewe kilaza au kwa kuwa wenye akili ni wawili tu hapo vyurani fc....Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza kufunga goli 2
Swali: Je aliwapa ushindi makolo Jana ni Chama au yule shabiki mganga????
Simba siku hizi wanavaa hizo jezi kumbe.Wakati mechi ikiwa imekolea Makolo wakiendelea kupelekewa moto na mashujaa Jana. ......
Shabiki aliyekuwa amevaa jezi ya kolo fc then Baada ya kurukia uwanjani akaivua na kubakizwa na singlend ( kaushi) alienda golini Kwa mashujaa na kufukia dawa ( hirizi) ......then after while Chama akaanza kufunga goli 2
Swali: Je aliwapa ushindi makolo Jana ni Chama au yule shabiki mganga????
uelewa wako ndo umeishia hapo?? au unaenda mbele kidogoMbona una wa aibisha uto wenzako wewe kilaza au kwa kuwa wenye akili ni wawili tu hapo vyurani fc....
Shabiki alienda kufukua kitu kwenye goli la wale sokwe fc na golikipa wao alijua kabisa akawa ana mzuia asifukue hicho kitu ila vip lakini mmesha utoa huo mwiko huko nyuma au mtaenda nao mpaka south waka wasaidie ku utoa?