Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tena itatawala haswa ...watanzania ni mabogus si wa simba wala Yanga...nashukuru Mungu walau mzee wangu alimua kuchukua binti nje ya Tanzania...maana ningekua na akili kama za wajomba zangu watanzania..ningesikitika sanakwa staili hii ccm itatawala Tz milele!
Kumbe kuna uchawi wa kisasa? 🧐Uchawi wa kufukia vitu ni uchawi wa kizamani sana
Nimekwisha muwekea Video aione kabisaMbona una wa aibisha uto wenzako wewe kilaza au kwa kuwa wenye akili ni wawili tu hapo vyurani fc....
Shabiki alienda kufukua kitu kwenye goli la wale sokwe fc na golikipa wao alijua kabisa akawa ana mzuia asifukue hicho kitu ila vip lakini mmesha utoa huo mwiko huko nyuma au mtaenda nao mpaka south waka wasaidie ku utoa?