Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Mafumbo ya imani na hizi dogma Unajua zinafunzwa wapi?

Baba paroko johnthebaptist hebu kutana na huyu ndugu kutokea machaka ya wapi sijui.

Tangu lini mafumbo ya Imani na dogma na kuuliza mbinguni yakahusianishwa na anakotaka kutelekeza?
Unajua unachoandika hata hakieleweki ,sijui unajibu mada gani
 
Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.

Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.

Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.

Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?

Karibuni
Kwangu Mimi naweza Kujibu Kutumia Historia..
Japo sijasimama sehemu yoyote kwakuwa Ni swali lilio mbele Basi inabidi Nilivagae tu...

JIbu la Haraka haraka Bila Kuconsider Othee Factor ni Ndiyo Allah alikuwepo..

UShahidi Ni Upi..

Baba Yake Na Muhammad alikuwa Akiitwa Abdullah yaani Mtumwa Wa Allah.. Jina ambalo limetokana na Maneno mawili (Abdu-Mtumwa na Allah)

Na usisahau Baba yake Mohamed alifariki kabla ya Kuzaliwa kwa Mohamed..

Jina la Mtume Muhammad ibn Abdullah ibn Abd al-Muttalib ibn Hashim

I rest my Case
 
Kwetu yapo yanaitwa mafumbo ya Imani.

Yaani dogma.

Hayo kwa vile hatuwezi kuwa na majibu na hata tukiwa nayo hakuna athari tulikubaliana kwenda kumwuliza mwenye majibu take huko huko mbinguni aliko tutakapofika.

Au wewe hukupata kusikia uwepo maswali kama hayo?
Mambo sijui ya mafumbo ya imani ni kichaka tu cha watu kujificha kukwepa kujibu maswali magumu na mengine yasiyo make sense.
 
w
To cut story short mafumbo ya Imani na hizo dogma uliza uambiwe ni lugha za wapi?

Wacha kurukiaof all the tereni, ya sgr, kwa mbele.

Kwani umewaona kina imhotep, Mzee Kigogo au hata Moisemusajiografii hapa?
Wewe kama unajua si uniambie ..ndio mana nikawaita wajuzi,wewe kama unaona haujui kaa pembeni watakuja wanaojua ,hasira za nini?
 
Kwangu Mimi naweza Kujibu Kutumia Historia..
Japo sijasimama sehemu yoyote kwakuwa Ni swali lilio mbele Basi inabidi Nilivagae tu...

JIbu la Haraka haraka Bila Kuconsider Othee Factor ni Ndiyo Allah alikuwepo..

UShahidi Ni Upi..

Baba Yake Na Muhammad alikuwa Akiitwa Abdallah yaani Mtumwa Wa Allah.. Jina ambalo limetokana na Maneno mawili (Abd-Mtumwa na Allah)

Na usisahau Baba yake Mohamed alifariki kabla ya Kuzaliwa kwa Mohamed..

I rest my Case
Sawa alikuwa mtumwa wa Allah ,je alikuwa muislamu? je kama hakuwa muislamu ni Allah gani alukwa anamtumikia?
 
Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.

Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.

Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.

Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?

Karibuni
Allah ni neno la kiarabu inamaanisha Mungu mmoja. Biblia za kiarabu haziandiki Yehova ama jina jengine bali linatumia neno Allah, baba yake mtume Anaitwa Abd-Allah. So Allah yupo kabla ya Mtume.
 
Allah ni neno la kiarabu likimaanisha mungu, hiyo ni sawa na kuuliza mungu alikuwapi kipindi watu hawaongei kiswahili, Mungu aliyemtuma Muhamad ndiye aliyemtuma ibrahim, Musa, Yesu na Yakobo na mitume wengine. Quran kufanana na vitabu vingine ni sawa sababu aliyevileta kwa binadamu ni mmoja. Na kuhusu Mungu kuruhusu vitabu vyengine kuchakachuliwa ni miongoni mwa mipango yake ili alete kitabu cha mwisho kwa viumbe wa mwisho . Na kama vile watu wa zamani wakifanya makosa wanapigwa tukio hapo hapo ila sisi kizazi cha mwisho tumeachwa
sawa je uislamu ulikuwepo?
 
kwa hiyo mpango wake ilikuwa watu wapotee..na kama ni dhambi je sasa hivi watu hawafanyi dhambi?
 
Ndio, uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu kwamba Hakuna anayepaswa kuabudiwa ila Mungu, kisha unafata na kuamini mtume aliyetumwa enzi hizo kama ni Muhamad, Musa, Ibrahim, Yesu na mitume wengine. Sababu kama umuani aliyekuja na ujumbe uta aminije ujumbe na aliyeutuma ujumbe
Sawa ,baba yake Muhammad alikuwa anaitwa mtumwa wa Allah ila alikuwa mpagani hii imekaaje?
 
Hilo ungeuliza yule alie sulubiwa kwa ajili ya dhambi je wanaofanya dhambi huko washabebewa dhambi zao waendelee tu.
Naomba kuuliza swali Waislamu mnakataa kusulubishwa kwa Yesu,mnasema hizo ni story za binadamu wamejitungia hazina ukweli.Ila neno lililoshushwa kutoka kwa Allah kimecopy story nyingi toka kwenye hiko kitabu kianchozungumzia kusulubiwa kwa Yesu..Je huoni Allah alikuwa anacopy story za binadamu.
 
Samahani Swali lako umeuliza Kuhusu Uislamu au Umeuliza Uthibitisho wa Kuwepo Kwa Allah kabla ya Kushuka Kwa Quran..

Ili uweke Record sawa Kwenye Hansard
Mzee si umesema Allah alikuwepo,na Abdullah alikuwa mtumwa wa Allah na uislamu ulikuja baada ya yeye kufariki..je Alikuwa anamtumikia Allah yupi maana yeye alikuwa mpagani
 
Naomba kuuliza swali Waislamu mnakataa kusulubishwa kwa Yesu,mnasema hizo ni story za binadamu wamejitungia hazina ukweli.Ila neno lililoshushwa kutoka kwa Allah kimecopy story nyingi toka kwenye hiko kitabu kianchozungumzia kusulubiwa kwa Yesu..Je huoni Allah alikuwa anacopy story za binadamu.
Unaruka ruka sana je na wewe unakataa kusulubishwa kwa yesu?

Huoni kama umejibuwa kwa mujibu wa imani yako.

Kuhusu maandiko kama muelewa soma post namba 20
 
Back
Top Bottom