baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kukujibu hili boss, kama wewe ni Mkristo, Hebu acha kufuata ulichozoea na badala yake Soma Biblia na mfuate Yesu.Kabla ya Muhammad kulikuwepo na Issa ,kwa nini asifuate tamaduni za Issa akaenda kufuata tamaduni za Ibarahimu mtu wa zamani sana.
1. Fuga ndevu kama yesu
2. Vaa kanzu fupi kama Yesu
3. Vaa makubazi kama Yesu
4. Swali kama Yesu kwa kufunga mikono na kusujudu
Wakati ukifanya yote hayo watu wakuangalie, je watasema wewe unafuata mafundisho ya nani? Wengi watasema wewe ni muisilamu.
Mitume wote walileta message moja tu, ukifuata mafundisho yao kwa asilimia kubwa utajikuta unafuata mafundisho ya Kiislamu. Leo hii wakristo na waisilamu wanatofautiana sababu kubwa ni wakristo kuacha mafundisho ya Biblia na kufuata maneno ambayo hayapo kwenye Biblia.
Huyu mchungaji akionesha namna wakristo wa zamani walivyo kuwa wakiswali, wayahudi na Waisilamu nao wanaswali almost hivyo hivyo.
So mtume ama waisilamu kufuata mafundisho ya Ibrahim ni sawa na kufuata ya Yesu ni sawa na kufuata ya Musa etc mitume wote walikuja na msg moja ndio maana pia hizi dini zinaitwa Abrahamic.