Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

Mafumbo ya imani na hizi dogma Unajua zinafunzwa wapi?

Baba paroko johnthebaptist hebu kutana na huyu ndugu kutokea machaka ya wapi sijui.

Tangu lini mafumbo ya Imani na dogma na kuuliza mbinguni yakahusianishwa na anakotaka kutelekeza?
Unajua unachoandika hata hakieleweki ,sijui unajibu mada gani
 
Kwangu Mimi naweza Kujibu Kutumia Historia..
Japo sijasimama sehemu yoyote kwakuwa Ni swali lilio mbele Basi inabidi Nilivagae tu...

JIbu la Haraka haraka Bila Kuconsider Othee Factor ni Ndiyo Allah alikuwepo..

UShahidi Ni Upi..

Baba Yake Na Muhammad alikuwa Akiitwa Abdullah yaani Mtumwa Wa Allah.. Jina ambalo limetokana na Maneno mawili (Abdu-Mtumwa na Allah)

Na usisahau Baba yake Mohamed alifariki kabla ya Kuzaliwa kwa Mohamed..

Jina la Mtume Muhammad ibn Abdullah ibn Abd al-Muttalib ibn Hashim

I rest my Case
 
Mambo sijui ya mafumbo ya imani ni kichaka tu cha watu kujificha kukwepa kujibu maswali magumu na mengine yasiyo make sense.
 
w
To cut story short mafumbo ya Imani na hizo dogma uliza uambiwe ni lugha za wapi?

Wacha kurukiaof all the tereni, ya sgr, kwa mbele.

Kwani umewaona kina imhotep, Mzee Kigogo au hata Moisemusajiografii hapa?
Wewe kama unajua si uniambie ..ndio mana nikawaita wajuzi,wewe kama unaona haujui kaa pembeni watakuja wanaojua ,hasira za nini?
 
Sawa alikuwa mtumwa wa Allah ,je alikuwa muislamu? je kama hakuwa muislamu ni Allah gani alukwa anamtumikia?
 
Allah ni neno la kiarabu inamaanisha Mungu mmoja. Biblia za kiarabu haziandiki Yehova ama jina jengine bali linatumia neno Allah, baba yake mtume Anaitwa Abd-Allah. So Allah yupo kabla ya Mtume.
 
sawa je uislamu ulikuwepo?
 
Jibu maswali mzee nitakuelewa vizuri ,ukiniambia kuhusu kusoma biblia ya kiarabu utanifanya niamini tu kuwa Allah ni neno la kiarabu ila sio jina la Mungu..yaani ni sawa uniambie ushawahi kusoma biblia ya kizungu ambayo yesu anaitwa JESUS.
Kwa hiyo unamaanisha yesu ni jina tu kwenu hana cheo chochote?
 
kwa hiyo mpango wake ilikuwa watu wapotee..na kama ni dhambi je sasa hivi watu hawafanyi dhambi?
 
Sawa ,baba yake Muhammad alikuwa anaitwa mtumwa wa Allah ila alikuwa mpagani hii imekaaje?
 
kwa hiyo mpango wake ilikuwa watu wapotee..na kama ni dhambi je sasa hivi watu hawafanyi dhambi?
Hapana ndio maana akamtuma mtume wa mwisho, pia watu wanafanya dhambi ila tupo kwenye zama za mwisho ndo maana hakuna gharika kubwa za kuwaadhibu watu hapo kwa hapo
 
Hilo ungeuliza yule alie sulubiwa kwa ajili ya dhambi je wanaofanya dhambi huko washabebewa dhambi zao waendelee tu.
Naomba kuuliza swali Waislamu mnakataa kusulubishwa kwa Yesu,mnasema hizo ni story za binadamu wamejitungia hazina ukweli.Ila neno lililoshushwa kutoka kwa Allah kimecopy story nyingi toka kwenye hiko kitabu kianchozungumzia kusulubiwa kwa Yesu..Je huoni Allah alikuwa anacopy story za binadamu.
 
Samahani Swali lako umeuliza Kuhusu Uislamu au Umeuliza Uthibitisho wa Kuwepo Kwa Allah kabla ya Kushuka Kwa Quran..

Ili uweke Record sawa Kwenye Hansard
Mzee si umesema Allah alikuwepo,na Abdullah alikuwa mtumwa wa Allah na uislamu ulikuja baada ya yeye kufariki..je Alikuwa anamtumikia Allah yupi maana yeye alikuwa mpagani
 
Unaruka ruka sana je na wewe unakataa kusulubishwa kwa yesu?

Huoni kama umejibuwa kwa mujibu wa imani yako.

Kuhusu maandiko kama muelewa soma post namba 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…