Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita.

Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na kazi ya uinjilishaji na kutimikia kwenye sakaramenti ya ya ndoa, kwa tamaa za mwili.

Akiwa huko,
akajiingiza kwenye masuala ya uongozi wa kisiasa. Baada ya kujilimbikizia fedha na mali nyingi sana, akapata kiburi na akajiona hana hadhi tena ya kuendelea kua na aina ya familia aliyokua nayo, akatumia ukwasi alionao kufanya unyang'anyi na kupora mke wa wenyewe kibabe, na kuisaliti familia yake ya awali hadharani na kwa udhalilishaji wa kiwango kibaya na cha fedheha sana.

Mzee hakuishia hapo,
akiwa huko huko kwenye siasa na mke mpya alietokana na nguvu ya ukwasi aliokua nao, kwa kunyimwa nafasi ya kugombea nafasi ya urais na chama chake, Mzee huyo aliamua kususa na kudai kuachana na siasa za Tanzania, kumbe ilikua ni unafiki mtupu, na kumbe ule ulikua ndio mwanzo wa mwisho wa anguko lake kisiasa.

Ghafla,
Mzee akatunukiwa nafasi ya uongozi na hayati rais JPM, akawa balozi, na kwa vile alikua mtu mwenye tamaa na uchu wa madaraka, Mzee akatokomea Sweden kwa haraka sana na mke wa wizi, ambae ni wazi anampasua kichwa vilivyo hivi sasa.

Na,
Katika hali isiyo ya kawaida,
Mzee alipopigwa chini kwenye nafasi ya ubalozi, akiwa bado na vihela kidogo, akaanzisha movement iliyoitwa sauti ya wananchi, lakini kutokana na hali mbaya ya kifamilia anayopitia kutoka kwa mke aliepora kwa mwanaume mwenzake, movement hiyo haikudumu sana, na mara ghafla tena Mzee, ikasemekana amerudi chadema, mahali ambapo pamemtokomeza zaidi kisiasa kwa sasa.

In fact,
tangu mwanzo wa andiko hadi mwisho, unaona tabia na hulka ambazo sio za kiungwana, zinavyomtesa na kumsulubisha sana Mzee huyu, asieaminika, kuheshimika wala kutabirika tena kwenye siasa za Tanzania kwa sasa.

Tamaa za fedha, tamaa za kingono, usaliti, majivuno, uporaji, uchu wa vyeo na madaraka ni laana na sababu za mikosi mingi na mabalaa mengi ambayo watu wengi huteseka nayo bila wao kujua.

Sidhani kama kuna miongoni mwa wadau wa JF ambae ana la kujifunza kutoka kwa Mzee huyu useless, ispokua kuepuka aina ya maisha ya anasa na tamaa za mzee huyo.

Lakini pia,
licha ya ya mapungufu hayo ya huyo mzee,
je ni wakati muafaka sasa kwa kanisa na vyama vya siasa alivyowahi kuvitumikia, kumsamehe na kumsitiri kwa fedheha za kijamii, kisiasa na kiuchumi anazopitia kwa sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huyu ni mzee wa heshima sana, ni kinara wa demokrasia Tz. Alichangamsha sana bunge. Hongera mwanafalsafa. Mwanzoni angepewa nafasi ya uenyekiti Chadema, ungekuta Chadema ingechukuwa nchi. Anatumia falsafa ya Machiavell ndio maana wengi hawamuelewi.
 
Gentleman,
kwa neema na baraka za Mungu hakuna jambo gumu humu duniani, unless wewe ni mshirikina na muabudu masanamu :pulpTRAVOLTA:
Ndugu yangu yako ni zaidi ya kuwa mchawi unalisha familia laaana sana , huyo Silaa unamuongelea ana hela mpaka anaumwa
 
Yote haya kuhusu Maisha yake wewe unayajuaje pamoja na hilo anguko la Kiuchumi ni Shs ngapi umewahi kumsaidia au alikuomba lini pesa umsaidie?Weka risti na meseji za miamala hapa,tuanzie hapo kujadili.
 
Huyu ni mzee wa heshima sana, ni kinara wa demokrasia Tz. Alichangamsha sana bunge. Hongera mwanafalsafa. Mwanzoni angepewa nafasi ya uenyekiti Chadema, ungekuta Chadema ingechukuwa nchi. Anatumia falsafa ya Machiavell ndio maana wengi hawamuelewi.
haeleweki kivipi gentleman?

kwa mfano,
kijamii,
nani hajui tamaa zake za kimwili na usaliti wa huyu mzee vilivyovuruga familia yake na familia za watu?

kiuchumi,
nani hafahamu tamaa zake katika fedha na mali zilizomfanya hata kupora wake za wenyewe?

Kisiasa,
nani hafahamu uchu wa madaraka, vyeo na usaliti wa kisiasa wa huyo mzee?

hivi kweli unaweza kujipiga kifua na kudai unacho cha kujifunza kwa huyu mzee?

hayo sio muhimu sana,
je, ni wakati muafaka kwa taasisi alizowahi kuzitumikia kumsitiri katika hali anayoipitia kwasasa? :pulpTRAVOLTA:
 
Yote haya kuhusu Maisha yake wewe unayajuaje pamoja na hilo anguko la Kiuchumi ni Shs ngapi umewahi kumsaidia au alikuomba lini pesa umsaidie?Weka risti na meseji za miamala hapa,tuanzie hapo kujadili.
gentleman,
kwani ni siri kwamba muungwana alitumia ukwasi kupora mke wa wenyewe?:pulpTRAVOLTA:
 
Sema CHADEMA nao wakampigie magoti na kumwomba msamaha hawara wa Dr Slaa, Bi Mushumbusi vinginevyo laana ya kumtelekeza Bi Mushumbusi pamoja na kumwaga damu kwenye maandamano ya Januari 5, 2011 itawatafuna. Kwenye yale maandamano Bi Mushumbusi alipasuliwa kwenye paji la uso na kumwaga damu nyingi kwa ajili ya CHADEMA. Ila cha kushangaza CHADEMA wakamtosa Baby wake kwenye urais na kumpa tiketi mtu waliyemtuhumu kuwa ni fisadi. Kinachoendelea CHADEMA kwa sasa ni matokeo ya laana ya hawara wa Dr Slaa.
na chadema wasivyo jitambua,
wanaweza kupuuza ushauri huo, kumbe wanachopitia hivi sasa kinasababishwa na laana hiyo :pulpTRAVOLTA:
 
Dr. Slaa keshazeeka na hekaheka za siasa hizi za kutekana haziwezi tena ndo maana ameamua kupumzika.

20260628_125857.jpg
 
Kama laana haijawatafuna CCM kwa wizi wa kura na umwagaji damu wa october, chadema wanaonewa sana
Gentleman,
chadema hii ya waropokaji na waporomosha matusi au ile kanyaga twende ya akina mzee slaa? :pulpTRAVOLTA:
 
Wewe unajuaje kama mke wake anampasua kichwa bwana Gentleman?
mambo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi huwa yapo wazi sana kwa watu wenye historia ya maisha ya heka heka kama mzee slaa,

kwani wewe umemuona akiwa na kiherehere katika majukwaa ya kisiasa kwa siku za hivi karibuni kama kawaida yake gentleman? :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom