Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

mambo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi huwa yapo wazi sana kwa watu wenye historia ya maisha ya heka heka kama mzee slaa,

kwani wewe umemuona akiwa na kiherehere katika majukwaa ya kisiasa kwa siku za hivi karibuni kama kawaida yake gentleman? :pulpTRAVOLTA:

Gentleman, hayo yote ya kuhama vyama, kwenda CCM, kurudi CHADEMA, kuanguka kisiasa, yanaweza kuwa ni kweli, maana yanaonekana.
Swali langu ni dogo tuu, wewe umejuaje kwamba mke wake anampasua kichwa?
 
Gentleman, hayo yote ya kuhama vyama, kwenda CCM, kurudi CHADEMA, kuanguka kisiasa, yanaweza kuwa ni kweli, maana yanaonekana.
Swali langu ni dogo tuu, wewe umejuaje kwamba mke wake anampasua kichwa?
Gentleman,
ile laana na usaliti alioifanyia familia yake ya kwanza,
inamtesa mno sasa dhidi ya aliemnyakua kwa mwanaume mwenzake kipindi akiwa na energy na ukwasi wa maana,

aliemnyakua ndio kwanza yuko kwenye form mno sasa hivi, anatamani mwenye ernergy mwenzake,
huku yeye mzee, normal ernergy zikiwa horijojo na ukwasi ukiwa umeyeyuka, na asijue cha kufanya,

liinatia huruma, na linasikitisha sana fundisho hili la kijamii :pulpTRAVOLTA:
 
Anguko ni lako na chama chako na familia zenu.Wazalendo wamesimama na maslahi ya taifa lao.
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman na itapendeza zaidi :pulpTRAVOLTA:
 
athari za tamaa, usaliti na laana na ni kitu mbaya sana ndugu mdau,

na hatuwezi kukaa kimya hata kidogo, wala kumuacha ateseke kwa fedheha hivyo huku tukimtazama tu :pulpTRAVOLTA:
So mnapanga kumsaidia?
 
na chadema wasivyo jitambua,
wanaweza kupuuza ushauri huo, kumbe wanachopitia hivi sasa kinasababishwa na laana hiyo :pulpTRAVOLTA:
Hawara wa Slaa alishajiandaa kuwa Firstlady ila ghafla wahuni ndani ya CHADEMA wakamtosa laaziz wake na kumpa nafasi waliyemtuhumu kwa ufisadi. Mbaya zaidi wakaanza kumwita baby wake Dr Mihogo. Ilinihuzunisha sana
 
So mnapanga kumsaidia?
ndugu mdau,
nimetoa hoja na kuhoji wadau wa jf,
ikiwa ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya siasa na taasisi alizowahi kuzitumikia na kuzisaliti kwa tamaa zake binafsi, kumsamehe na kumsitiri kwa hali na mali kwa anachokipitiia hivi sasa,

na ikiwa inafaa, ndipo tuendelea na hatua nyingine :pulpTRAVOLTA:
 
Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita.

Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na kazi ya uinjilishaji na kutimikia kwenye sakaramenti ya ya ndoa, kwa tamaa za mwili.

Akiwa huko,
akajiingiza kwenye masuala ya uongozi wa kisiasa. Baada ya kujilimbikizia fedha na mali nyingi sana, akapata kiburi na akajiona hana hadhi tena ya kuendelea kua na aina ya familia aliyokua nayo, akatumia ukwasi alionao kufanya unyang'anyi na kupora mke wa wenyewe kibabe, na kuisaliti familia yake ya awali hadharani na kwa udhalilishaji wa kiwango kibaya na cha fedheha sana.

Mzee hakuishia hapo,
akiwa huko huko kwenye siasa na mke mpya alietokana na nguvu ya ukwasi aliokua nao, kwa kunyimwa nafasi ya kugombea nafasi ya urais na chama chake, Mzee huyo aliamua kususa na kudai kuachana na siasa za Tanzania, kumbe ilikua ni unafiki mtupu, na kumbe ule ulikua ndio mwanzo wa mwisho wa anguko lake kisiasa.

Ghafla,
Mzee akatunukiwa nafasi ya uongozi na hayati rais JPM, akawa balozi, na kwa vile alikua mtu mwenye tamaa na uchu wa madaraka, Mzee akatokomea Sweden kwa haraka sana na mke wa wizi, ambae ni wazi anampasua kichwa vilivyo hivi sasa.

Na,
Katika hali isiyo ya kawaida,
Mzee alipopigwa chini kwenye nafasi ya ubalozi, akiwa bado na vihela kidogo, akaanzisha movement iliyoitwa sauti ya wananchi, lakini kutokana na hali mbaya ya kifamilia anayopitia kutoka kwa mke aliepora kwa mwanaume mwenzake, movement hiyo haikudumu sana, na mara ghafla tena Mzee, ikasemekana amerudi chadema, mahali ambapo pamemtokomeza zaidi kisiasa kwa sasa.

In fact,
tangu mwanzo wa andiko hadi mwisho, unaona tabia na hulka ambazo sio za kiungwana, zinavyomtesa na kumsulubisha sana Mzee huyu, asieaminika, kuheshimika wala kutabirika tena kwenye siasa za Tanzania kwa sasa.

Tamaa za fedha, tamaa za kingono, usaliti, majivuno, uporaji, uchu wa vyeo na madaraka ni laana na sababu za mikosi mingi na mabalaa mengi ambayo watu wengi huteseka nayo bila wao kujua.

Sidhani kama kuna miongoni mwa wadau wa JF ambae ana la kujifunza kutoka kwa Mzee huyu useless, ispokua kuepuka aina ya maisha ya anasa na tamaa za mzee huyo.

Lakini pia,
licha ya ya mapungufu hayo ya huyo mzee,
je ni wakati muafaka sasa kwa kanisa na vyama vya siasa alivyowahi kuvitumikia, kumsamehe na kumsitiri kwa fedheha za kijamii, kisiasa na kiuchumi anazopitia kwa sasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Vipi kuhusu comrade Polepole? Nae kawakosea nini?
 
ndugu mdau,
nimetoa hoja na kuhoji wadau wa jf,
ikiwa ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya siasa na taasisi alizowahi kuzitumikia na kuzisaliti kwa tamaa zake binafsi, kumsamehe na kumsitiri kwa hali na mali kwa anachokipitiia hivi sasa,

na ikiwa inafaa, ndipo tuendelea na hatua nyingine :pulpTRAVOLTA:
Ooh sawa vizuri
 
Huna hoja zaidi ya chuki.
calm down basi,
hasa ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom