Salaam!
Katika chaguzi zilizopita, askari baada ya foleni kwisha, askari nao walipata fursa ya kupiga kura Katika vituo walivyosimamia usalama kwa uwazi kabisa Kisha wakaendelea na majukumu yao kana kawaida.
Uchaguzi huu ni tofauti, Kila kukicha tunaona wanafanyishwa mazoezi kwa tetesi za kupambana na waandamanaji wa ni Reforms no Election tarehe hiyo hiyo ya uchaguzi.
Swali 1.
Haki ya askari wetu kuchagua viongozi wawatakao 2025 italindwa?
Swali no 2.
Je, patakuwepo na uchaguzi October 2025 kwa vitisho hivi vya askari kuelekea siku ya uchaguzi?
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏