Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
November ni leo…..!!!!
 
mapessa habari yako bwana, vipi November 1 imepita na leo ni siku ya tatu ya mwezi, vipi uliyesema asipojiuzulu atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, vipi imefikia wapi? Au ulilishwa Matango pori???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…