Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Swali muhimu ni kwanini mtoto wa PM kwa kushirikiana na watumishi wasiokuwa waaminifu walistage mitandaoni kwa kusema TRA inabambikia watu kodi…?

Tuwapongeze TRA kwa ujasiri wa kutoa Taarifa kwa umma juu ya upotoshaji uliofanyika kupitia kwa mtoto wa Waziri Mkuu.
 
Upo sahihi. Kwa Tanzania Waziri Mkuu ni msimamizi wa shughuli za Serikali Bungeni na Kiongozi wa Mawaziri Serikalini. Baaaas!

Kutoka kuwa msimamizi wa serikali hadi mvusha magendo.

Huyu bwana anafahamu yupo ukingoni anajitahidi kweli ale kwa mikono miwili.
 
Kutoka kuwa msimamizi wa serikali hadi mvusha magendo.

Huyu bwana anafahamu yupo ukingoni anajitahidi kweli ale kwa mikono miwili.
Huyo jamaa ni kawaida yake. JPM alimwekaga kando kwa sababu hizo hizo. Uwizi, magendo ya korosho na rushwa kubwa kubwa.
Huwa nashangaa kuna watu wanamwamini eti ndo turufu ya CCM wananchi. Wapi?!
 
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Mkuu
 
Jamaa sio muadilifu hata kidogo, uzalendo anaouamini ni kuning'iniza skafu na tai mfano wa bendera ya taifa ili hali mbadhilifu na mtapanyaji mkubwa wa mali za umma hasa anapopatia nafasi!

Akimaliza na huyo mnyiramba ahamie kwa yule msambaa aliyegeuzwa mpiga debe wa gas ya Rostam, ameshindwa kuisimamia na kuishauri TPDC ku come up mipango endelevu ya kuwa na product ya gas ambayo i thought ndo ingekuwa iitwe taifa gas!

Sawa ameshindwa kuishauri TPDC, Je kwenye ameshindwa kunadi gas ya wabia wakubwa wa serikali kwenye mambo ya nishati kwa ujumla ambapo kwa kufanya vile angeinufaisha serikali pia.

Mama Samia akumbuke kuwa kuna watu wameingia kwenye lile baraza kimkakati na aghalabu asipotizama watazamisha jahazi.

cheza vzr mama na yule wa ardhi pia, sio wema kwako watakuharibia!!!
Huyu uliyemgusa hapa ni wa pili baada ya aliyekusudiwa na mleta uzi.
 
Kwenye hili tuko pamoja

Its not all of us, we are not all the same, most of you people who are short sighted, you kept silent, till things till bad things happens!, look at what some of us did, to try prevent the worst to happen! Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Kwa sababu tumeisha umwa na nyoka, tumsaidie Mama na yeye asije kung'atwa!. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
P

Upepo umeanza kuvuma kwa kasi.
 
Chama hicho kime....a sana watz,

Na da..m..u Ina TABIA ya kudai KISASI.

Hapatatulia kamwe
 
Mtu pekee aliyekua na ngozi ya chuma akajiuzulu alikua Edward Ngoyai Lowassa na yote kwa sababu hakua na njaa.PM huyu hawezi jiuzulu kwanza ameshatoa press kumsagia kunguni huyo aliyekamatwa na pia Bunge hili la sasa la Ndiyoooooooooooo Ndiyooooooooo kupiga kura ya kutokua na imani na PM ni jambo lisilowezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani issue ya Ndugai ilianzaje na iliendaendaje baada ya kuwa imefumuka?
 
Uzuri wa CCM ni kuwa ni chama kinachoweza kujibadilisha badirisha ili kukidhi mahitaji na matakwa ya watu.

Kuna wakati CCM ilijivika sura ya upinzani na wapinzani wakakubali na hiyo ndio tasfiri halisi ya neno"Mapinduzi"
Hivyo hii issue ya PM,kama ikitokea ni jambo la kawaida ndani ya Chama.

Kama spika wa Bunge aliweza kujiuzuru,achilia mbali hiyo vipi kuhusu ile issue ya Abdul Jumbe.....so lolote lawezekana.

Ingawa Kuna wakati busara inaweza kutumika kukosoana ndani kwa ndani na maisha yakaendelea.
CCM wanayo ngao moja kubwa ambayo huwa inawasaida na ambayo vyama vingine vyote Tanzania havina; STRONG INTELLIGENCE SYSTEM within, more or less similar to that of STATE. Hiki kitu vyama vingine vyote havina, na hicho ndicho huwa muda wote kunawaangusha wapinzani
 
Swali muhimu ni kwanini mtoto wa PM kwa kushirikiana na watumishi wasiokuwa waaminifu walistage mitandaoni kwa kusema TRA inabambikia watu kodi…?

Tuwapongeze TRA kwa ujasiri wa kutoa Taarifa kwa umma juu ya upotoshaji uliofanyika kupitia kwa mtoto wa Waziri Mkuu.
Hili ni sakata la kutengeneza; ni maigizo perce!. Kitu halisi kiko nyuma ya pazia kimefichwa ili itakapotokea huko mbele ya safari likatokea lolote, sisi laymen tujue kuwa ni hili sakata la TRA wakati kumbe siyo. Refer kwenye sakata la Ndugai; "achunguzaye na afahamu"
 
Maswali muhimu kwa tusielewa vyema the whole saga ni haya;

1. Huo mzigo uliokwepeshwa kodi ni wa nani...?

2. Ni wa Waziri Mkuu mwenyewe au ni wa mtoto huyo wa Waziri Mkuu...?

3. Kama siyo ya WM wala wa huyo mtoto wa WM, then ni wa nani. Na kwanini mtoto wa WM ahusike iwapo si muhusika wa mzigo huo...?

All in all haijalishi sana kuelewa mzigo huo ni wa nani. Shauku ya kila mtu ni kuelewa, kwanini mtoto wa PM ashiriki kuwakingia kifua wakwepa kodi...!!

Na muhimu zaidi ni kuwa, iwapo tukio hilo ni la kweli na kwamba wahusika walidhamiria kukwepa kulipa kodi ya nchi kwa usaidizi au ushiriki wa moja kwa moja wa mtoto wa kiongozi mkubwa serikalini yaani Waziri Mkuu...

Then hakuna namna ya kufanya isipokuwa ni lazima kuwe na uwajibikaji wa kisiasa na kisheria kwa WM Majaliwa K. Majaliwa na mwanae + wenzake wote respectively....!
Akili kubwa mnaona mbali mno wala dagaaa watakuja hapa kusema anachafuliwa.
 
Back
Top Bottom