ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mimba changa inakusumbua kila siku unamuwaza mumeo tulia mtoto mzuriPunguza wivu basi. Au umeshaacha ushoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba changa inakusumbua kila siku unamuwaza mumeo tulia mtoto mzuriPunguza wivu basi. Au umeshaacha ushoga?
Sisi wanyonge tusubiri kuona Mshindi ni nani. Mengine hayatuhusuNyie wafanyabiashara msio waaminifu mnajulikana sana na fitina zenu lakini muda sio mrefu mtanasika tu kisha mkondo wa sheria utawahusu pima. Mnamwandama sana kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ili mpachike mtu wenu bila kutambua kwamba mnaenda kusambaratisha watu wenu wote.
Tawala hizi zinabadilika msijione mnauhuru wa kufanya chochote mkafikiri mtaendelea kunyanyasa na kupora mali za umma
Asipokuelewa basi😆"Sana", ilishapita. Sasa ni matokeo ya sana...
Tuliwaambia toka enzi zile mnampigia upatu Mwendazake awe Rais wa maisha. Tukawaambia, atapoteza maisha yeye na katiba itabaki kuwa "intact" kwa term 10 tu mkabisha...
Sasa na hapa nakuambia hivi, CCM is dead. The doctor is in the office to issue you the certificate of death ready for burial ceremony whether at Butiama - Mara regional or Mnazi moja - Zanzibar ...!!
Mungu hahitaji any serious opposition to change things. Mungu nimjuaye mimi hutumia vitu dhaifu kufanya mambo yake ili kuviaibisha vinavyodhani vina nguvu...!
Nakuhakikishia jambo moja, kubwa, umefika wakati wa jambo kubwa kutokea Tanzania na hamtaamini...!
Yes, I agree...
Kweli yatupasa sote tujifunze kukubali ukweli...
Sasa ni wewe ukubali ukweli huu nikuambiao au sisi tukubali mazoea ya hisia zenu za ulevi wa madaraka...?
Wewe ni shoga?Mimba changa inakusumbua kila siku unamuwaza mumeo tulia mtoto mzuri
Hapana nadhani ww ndiyeWewe ni shoga?
Kwahiyo umeacha ushoga?Hapana nadhani ww ndiye
Ww unanitafutia ban ya lazima!!??Kwahiyo umeacha ushoga?
Hongera kama ulifanikiwaWw unanitafutia ban ya lazima!!??
kaa mbali na mimi nitakubandua
Good decision...!Mkuu The Palm Beach , kwa vile mimi ni muumini wa kauli umba, ngoja nijinyamazie kuisikilizia hii kauli yako, maana kuna kauli zina umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..
Lets wait and see!.
P
Thank you...Wish you all the best kwenye kusubiria kwako, kwa maana hamjui siku wala saa!.
P
Thank you...
It's true, saa wala siku anajua yeye...
Lakini kama hata viashiria (signs) kuonyesha hatari au mwisho au uzuri/ubaya au mwanzo/mwanzo wa kitu/jambo fulani, mtu anakuwa hawezi kuzitambua, basi mtu huyo ni mfu kabisa..!!!
Hata msimu au majira ya mvua huwa tunayatambua kwa mabadiliko ya hali ya hewa kama vile uwepo wa mawingu nk nk...
Hata kitu/mtu anayeelekea kufa utaziona dalili zake wazi bila hata kuhitaji taaluma ya udaktari...
Moja ya dalili ya kuwa CCM wameshakufa ni UOGA na HOFU kubwa inayoendelea kuwatawala...
They are so desperate to the extent that, they are ready to do any stupid inhuman acts such killing and aothers just to make sure that they continue staying in power...
Just refresh your mind and think about what happened in 2019 & 2020 election under Magufuli presidency. Those were desperation acts...
That's why God was intolerant with the leader of those acts. He allowed death to take him away...
It's surprising that, you remnants of CCM have nothing to learn....
I think, if your eyes can't see, your ears can't listen and understand the voices of people, then we have to let nature (karma) teach you a lesson that you will never forget...
Thank you...
Hiki ndicho pekee unachoweza kusema kwa leo...?Kama una njaa nenda kale.
Kwenye hili tuko pamojaThank you...
It's true, saa wala siku anajua yeye...
Its not all of us, we are not all the same, most of you people who are short sighted, you kept silent, till things till bad things happens!, look at what some of us did, to try prevent the worst to happen! Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!Just refresh your mind and think about what happened in 2019 & 2020 election under Magufuli presidency. Those were desperation acts...
That's why God was intolerant with the leader of those acts. He allowed death to take him away...
It's surprising that, you remnants of CCM have nothing to learn....
Kwa sababu tumeisha umwa na nyoka, tumsaidie Mama na yeye asije kung'atwa!. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?In my opinions I can say this;
That, if your eyes can't see and your ears can neither listen nor understand the demands voiced by the people, then we have to let nature (karma) teach you a lesson that you will never forget...
And I, say LET IT BE SO....
Thank you...
Maelezo mengi lkn hayaeleweki
Salome mgaya ni nani?
Pm anahusika vipi na salome mgaya?
Tra nao wametoa taarifa zipi?
Kwa nini Pm ajiuzuru?
Hebu dadavua
Hacha uchawi wako huoTupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Aaah, kumbe!
Kundi hili linanyukana na la PM ili ili mtu wao aunyakue u - PM..
Honestly, hakuna wakati mwingine tena ambapo Watanzania tunahitaji kuiona Tanzania mpya yenye mfumo mpya wa utawala wa kikatiba na kisheria usio na chembechembe za kijani asilani...
Majaaliwa?? Yaan Maajaliwa ajiuzulu ??.
Kua serious.
Maswali muhimu kwa tusielewa vyema the whole saga ni haya;TRA wamefanya kazi ya kukamata mzigo wa magendo.
Mtoto wa Waziri Mkuu kwa kutumwa akaja kuzuia mzigo usipekuliwe Vijana wa TRA wakakomaa mzigo ukapekuliwa.
Wakapanga mbinu TRA wanabambikia watu Kodi.
Wameshindwa.
Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo.