Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.

Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.

Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.

Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.

Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.

Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.

Samia na chama kimejaribiwa;

Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.

-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.

Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.

Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Sukuma gang kubalini kuwa muda wenu umepita, acheni majungu na kutafuta viskendo vya kijingajinga, hizi ni zama za Mama, tulieni dawa iwaingie
 
Kung'ang'ana KWA malkia kugombea muhula ujao ndio dalili kuu ya anguko la kijani!
Sio kung'ang'na, bali ni deserving kwasababu hii ndio term yake ya kwanza!.
Hivyo Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kuna hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Sio ya kuizingatia sana kivile, ila pia sio ya kupuuza!.
P
 
Uzuri wa CCM ni kuwa ni chama kinachoweza kujibadilisha badirisha ili kukidhi mahitaji na matakwa ya watu.

Kuna wakati CCM ilijivika sura ya upinzani na wapinzani wakakubali na hiyo ndio tasfiri halisi ya neno"Mapinduzi"
Hivyo hii issue ya PM,kama ikitokea ni jambo la kawaida ndani ya Chama.

Kama spika wa Bunge aliweza kujiuzuru,achilia mbali hiyo vipi kuhusu ile issue ya Abdul Jumbe.....so lolote lawezekana.

Ingawa Kuna wakati busara inaweza kutumika kukosoana ndani kwa ndani na maisha yakaendelea.
 
But what is important ni kuwa, watatoka tu na tutawasahau kabisa kabisa...
Utasubiri sana!.
Haijalishi ni lini. Iwe kesho, ama 2025. Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kwamba, there's no more time for CCM...!!!
As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.

Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli!, kwa the political dynamics ya siasa zetu, hatuna any capable, credible and serious opposition ya kuipumzisha CCM!. Tujifunze kuukubali ukweli bayana Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...
Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!
Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu wa kuishi kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.
Farao na Wamisri wa kale walikuwaga na dhana na mawazo kama ya maCCM hivihivi...

Walikuwa wakiamini kuwa Israel angekuwa mtumwa wao milele...

Yaani baadhi ya Israel nao walishajikatia tamaa kiasi cha kuzoea hali ya utumwa na kuamini kuwa, wameandikiwa kuwa watumwa wa Misri milele...
Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Yes, It happened. Mungu husikia kilio cha watu wake...

Na matukio ya kweli ya kihistoria yanatufundisha kujiamini na kuamini kuwa, Mungu husikia vilio vya watu wake wanaonewa na kunyanyaswa...

Na akichoka, hutumia njia rahisi mno kuwakomboa toka ktk utumwa wa watesi wao...!
Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...
P
 
Utasubiri sana!.

As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.

Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli!, kwa the political dynamics ya siasa zetu, hatuna any capable, credible and serious opposition ya kuipumzisha CCM!. Tujifunze kuukubali ukweli bayana Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Pascal ACHA KUWEKA pamba masikioni I!

Sadaka ya maisha ya jpm akiwa madarakani ni chachu ya mabadiliko ya kikatiba na kiutawala ambayo wenye DOLA hawatokaa wapuuze sadaka hiyo! Sadaka ya jpm ni ukombozi KWA taifa letu kutokea kwenye mtanziko wa kikatiba ulijitokeza KWA MIAKA mingi nchini!!

Tunasubiri matokeo ya sadaka hiyo!!
 
Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!

Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.

Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...
P
Hauwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.
 
Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!
Bado huelewi nini Mr Pascal Mayalla? Nilijualo ni moja, CCM hawana maisha marefu...!!
Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative
It's not a relative term, rather it's an absolute term...
ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.
Bahati mbaya sisi siyo fisi. Sisi ni binadamu wenye akili na ufahamu usiofanana na wa fisi...!
Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Umesahau kuwa hata umri wa kuishi wa binadamu sasa ni miaka 70 tu na ukiwa na nguvu ni 80. Kwa hiyo, miaka 50 ni mzee huyo...!!
Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...
P
Ni vyema kwa kuwa unaamini hivi....

Ondoa neno "lakini" bali huo ndiyo ukweli wote...

Na actually, MUNGU YEHOVA ameona, amesikia kilio cha watu wa Tanzania...
 
Utasubiri sana!.
"Sana", ilishapita. Sasa ni matokeo ya sana...
As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.
Tuliwaambia toka enzi zile mnampigia upatu Mwendazake awe Rais wa maisha. Tukawaambia, atapoteza maisha yeye na katiba itabaki kuwa "intact" kwa term 10 tu mkabisha...

Sasa na hapa nakuambia hivi, CCM is dead. The doctor is in the office to issue you the certificate of death ready for burial ceremony whether at Butiama - Mara regional or Mnazi moja - Zanzibar ...!!
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli!, kwa the political dynamics ya siasa zetu, hatuna any capable, credible and serious opposition ya kuipumzisha CCM!.
Mungu hahitaji any serious opposition to change things. Mungu nimjuaye mimi hutumia vitu dhaifu kufanya mambo yake ili kuviaibisha vinavyodhani vina nguvu...!

Nakuhakikishia jambo moja, kubwa, umefika wakati wa jambo kubwa kutokea Tanzania na hamtaamini...!
Yes, I agree...

Kweli yatupasa sote tujifunze kukubali ukweli...

Sasa ni wewe ukubali ukweli huu nikuambiao au sisi tukubali mazoea ya hisia zenu za ulevi wa madaraka...?
 
Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.

Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.

Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.

Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.

Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.

Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.

Samia na chama kimejaribiwa;

Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.

-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.

Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.

Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Not in Africa Mappesa
 
Unaota 😀😀
 
"Sana", ilishapita. Sasa ni matokeo ya sana...

Tuliwaambia toka enzi zile mnampigia upatu Mwendazake awe Rais wa maisha. Tukawaambia, atapoteza maisha yeye na katiba itabaki kuwa "intact" kwa term 10 tu mkabisha...

Sasa na hapa nakuambia hivi, CCM is dead. The doctor is in the office to issue you the certificate of death ready for burial ceremony whether at Butiama - Mara regional or Mnazi moja - Zanzibar ...!!

Mungu hahitaji any serious opposition to change things. Mungu nimjuaye mimi hutumia vitu dhaifu kufanya mambo yake ili kuviaibisha vinavyodhani vina nguvu...!

Nakuhakikishia jambo moja, kubwa, umefika wakati wa jambo kubwa kutokea Tanzania na hamtaamini...!

Yes, I agree...

Kweli yatupasa sote tujifunze kukubali ukweli...

Sasa ni wewe ukubali ukweli huu nikuambiao au sisi tukubali mazoea ya hisia zenu za ulevi wa madaraka...?
Mkuu The Palm Beach , kwa vile mimi ni muumini wa kauli umba, ngoja nijinyamazie kuisikilizia hii kauli yako, maana kuna kauli zina umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..

Lets wait and see!.
P
 
Back
Top Bottom